Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 2,369
- 1,775
Hivi unaandika hivi ukiwa timamu (sober?). Kwa hivyo wanaotumia Kichina, Kifasransa au Kirusi hakuna mtu wa kuwasikiliza?Kwendo kusoma hotuba kiswahili ITU na kutegemea kuna watu wanakusikiliza ni sawa na kulinganisha Tsh & Dollar.
Utakuwa kama yule asiyeona; siku moja akaona mkonga wa tembo. Bango la Jamii forum wenyewe wameandika: " Jamii forum. Home of the Great Thinkers" Na hii haikuandikwa kwa bahati mbaya. Wenyewe wanamaanisha hasa.