Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Kwendo kusoma hotuba kiswahili ITU na kutegemea kuna watu wanakusikiliza ni sawa na kulinganisha Tsh & Dollar.
Hivi unaandika hivi ukiwa timamu (sober?). Kwa hivyo wanaotumia Kichina, Kifasransa au Kirusi hakuna mtu wa kuwasikiliza?

Utakuwa kama yule asiyeona; siku moja akaona mkonga wa tembo. Bango la Jamii forum wenyewe wameandika: " Jamii forum. Home of the Great Thinkers" Na hii haikuandikwa kwa bahati mbaya. Wenyewe wanamaanisha hasa.
 
Mara zote humu wakosoaji wa kiingereza hawaoneshi kiingereza wanacho dhani ni sahihi. Mtu kazungushia maneno, tusio jua tutajifunza nini hapo? Au kwanini tusiamini wakosoaji ndio wasiojua.
 
Hivi unaandika hivi ukiwa timamu (sober?). Kwa hivyo wanaotumia Kichina, Kifasransa au Kirusi hakuna mtu wa kuwasikiliza?

Utakuwa kama yule asiyeona; siku moja akaona mkonga wa tembo. Bango la Jamii forum wenyewe wameandika: " Jamii forum. Home of the Great Thinkers" Na hii haikuandikwa kwa bahati mbaya. Wenyewe wanamaanisha hasa.
Kwa akili yako timamu unafikiria kiswahili kinaweza kutumika ku address issue serious nje ya Tanzania?? Putin anafahamu Kiingereza na Kijerumani ila hata sikumoja hawezi kwenda kutoa hotuba kwa lugha hizo kwa sababu anauhakika ni lazima wafanya maamuzi wamsikilize katika lugha yake ya Kirusi na watafsiri kwa lugha watakazoelewa kwa maana anayoongea yana TIJA. Sasa unategemea Hotuba yenye TIJA kutoka kwa mtu ambaye bado nchi yake inakopa pesa ijenge vyoo vya shule? ni dhahiri changamoto zake bado ni za zama za mawe hana mchango wa maana kwenye ulimwengu wenye changamoto za dunia ya kwanza?? Tuwe serious
 
Huyo aliyemuandikia Mheshimiwa ukute ni Mtu mmoja anayeaminika sana hapo wizarani na ukute ana CV ya kutisha/kibongobongo. Pia ukute kabla haijamfikia Mheshimiwa imeshapita kwenye madawati na vitengo kadhaa kuhakikiwa na kufanyiwa marekebisho kibao MWISHO NDIO KATIBU WA WIZARA AKAIPITISHA KUWA SASA INAFAA KUPELEKWA KUSAINIWA NA Mhe.
 
I think, I thought, I don't give a rat's tit, fuk the world the goverment too. Collteral damage. You plasphemy, I am faded mkaldayo wewe ni mbusii. Take me out this ditch biaaatch Maghayo
 
I think, I thought, I don't give a rat's tit, fuk the world the goverment too. Collteral damage. You plasphemy, I am faded mkaldayo wewe ni mbusii. Take me out this ditch biaaatch Maghayo
Wewee mkaldayo don't follow follow me without because. You cant me am another.
 
Hivi unaandika hivi ukiwa timamu (sober?). Kwa hivyo wanaotumia Kichina, Kifasransa au Kirusi hakuna mtu wa kuwasikiliza?

Utakuwa kama yule asiyeona; siku moja akaona mkonga wa tembo. Bango la Jamii forum wenyewe wameandika: " Jamii forum. Home of the Great Thinkers" Na hii haikuandikwa kwa bahati mbaya. Wenyewe wanamaanisha hasa.
Usifananishe lugha hizo na Kiswahili. Wenye lugha hizo wamezifanyia kazi kubwa, kiasi hakuna kitabu kilichoko katika Kiingereza usikute tafsiri yake kwenye Kifaransa, Kichina, Kiarabu, Kiajemi, Kihispaniola nk. Sisi, kwa uvivu wetu hatuna hata vitabu vya maana 1,000 twataka tutumie Kiswahili! Kama kawaida yetu, twataka kuvuna kabla ya kupanda!
Kiswahili kingekuwa lugha kubwa sana kama kwanza tungekifanyia kazi. Leo hii hata siye wenyewe hatuzungumziwala hatuandiki Kiswahili- laisi,wazili, lamani....?!
 
Nape angewaambia Wazungu tu: ' Tanzania is a hippopotamus of you!'- Tanzania ni kiboko yenu!
 
Kweli, nini tafsiri ya Nape? Preferably kwa Kithungu!
 
Hawa ndo wababe wa Samia kuivusha nchi. Hapa kajikunja siku tatu kuwa ana majukumu maalum kuja kuokoa jahazi
 
Kiingereza siyo lugha yetu, kwahiyo mi sioni ajabu...Si Kila jambo la kukomalia. Hata hao wazungu wenyewe viingereza vyao vina shombo kama sisi kama siyo lugha Yao ya asili
Acha excuses. Basi someni kwa Kiswahili kitupu!
 
Hiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.

Tumlaumu Waziri au Mwandishi?

Hili ni bango la wizara kwa lugha ile............tuanzie hapo mleta mada, onyesha utata wa kisarufi, kimuundo na kimantiki.

The United Republic of Tanzania​

Ministry of Information, Communication and Information Technology​

Si lugha ya serikali ni kiswahili, amejitutumua akasahau kwamba lugha ya kiingereza ni ngumu. Form four alipata division ngapi
  • Angeandika kwa kiswahili barua yote.
  • Kisha angetumia Online Ai kupata tafsiri sahihi kwa GB English.
Ingepatikana barua iliyo makini bila mkosa yeyote.

Mfano huu hapa. |
1692351473176.png
 
Hichi chingereza kina hadhi ya st. kayumba aisee, wizara zetu nyingi zimejaa vilaza wa lugha ya malkia.
 
Back
Top Bottom