Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Facts gani mzee baba?Guy bring the facts and figures, stop yapping and give the empty words full of emotions. Otherwise you will never be invited to attend real men's meetings.
πππ
AiseeHuyu hawezi akaelewa the fundamental question "why the GDP is not a good measure of economic development and citizens welfare?".
Haya jamaa wa kukariri mambo wanaumbuka sana safari hii. Miaka 4.7 tu ya Jiwe pamoja na miezi 4 ya Covid-19 imeonyesha uhalisia wa hizo GDP za makaratasi.Huyu hawezi akaelewa the fundamental question "why the GDP is not a good measure of economic development and citizens welfare?".
Sasa broHaya jamaa wa kukariri mambo wanakumbuka sana safari hii. Miaka 4.7 tu ya Jiwe pamoja na miezi 4 ya Covid-19 imeonyesha uhalisia wa hizo GDP za makaratasi.
Unajua asilimia ya chakula kenya inayotegemea Tz? Unajua makampuni ya Kenya ni moja ya yanaongoza Afrika kuwekeza Tz? Unajua Tz ni kwa kiwango gani ni soko la baadhi ya products zao?Watanzania wamekuwa "mazwazwa"!...ni upumbavu wa watanzania kufikiria kwamba Kenya haiwezi kufanya shughuli zake bila Tanzania!
Kenya haina tofauti na "developed"countries they are getting everything from Europe sasa sijui Tanzania tatizo letu ni nini.
Facts gani mzee baba?
FACT ni kwamba Kenya ni giant East Africa on every economic metric na]]katika factor of 2 na Tanzania ni half of them ambae ni wa pili?
Unataka FACT gani mzee?
Mbona unakua linafiki sana aisee?
You know everything,sema una unafiki fulani sana!
Kusema mwenzako kakupita kwa Fact sio dhambi wala haikufanyi upoteze utu wako,ni kweli na una acknowledge kuhakikisha kwamba unafanya kazi kwa bidii uwapite na wao!
Hio ni kweli,acheni mambo ya kisenge bwana!
Bado huna facts uliyoweka zaidi ya emotions. Please if you dont have any tangible words to utter stop quating me.
Usisifia gep la GDP tu uangalie na gap la nchi kumtegemea mwenzake maana hii ndio siraha kubwa kuliko hiyo gdp unayolilia ,usiombe kua tegemezi unaemtegemea awe na roho nzur ila akiwa na roho mbaya kama Kenya andika umeumia.Mzee Eliakeem acha unazi basi, tuseme takwimu za World Bank za uchumi tangu mwaka 1962 hizi nchi zipate uhuru Kenya ni ahead of everybody EA nzima mpaka tunapoongea!
Na ni too bad gap linazidi kuongezeka as time inapopita!
Kwahiyo Fact ni mpaka nichukue majedwali ya WB niweke humu wakati unayajua mzee?
Eti tangible words,mzee tables za WB si unazijua na ulishazisoma sana,sasa unafiki wa nini?
Wewe ndio una FACTS zaidi ya World Bank?
Macho yako ndio yana facts zaidi?
MkuuUsisifia gep la GDP tu uangalie na gap la nchi kumtegemea mwenzake maana hii ndio siraha kubwa kuliko hiyo gdp unayolilia ,usiombe kua tegemezi unaemtegemea awe na roho nzur ila akiwa na roho mbaya kama Kenya andika umeumia
Kwanza kabisa mm cwez kusoma hadithi ,nimesoma mistar 10 tu ila nimegundua hujanielewa .Mimi sijamaanisha mtu mmoja mmoja nimesema nchi Kwa nchi . Kenya GDP ipo kubwa na unalalamika wametupita sawa linapokuja swala la kupimana ubavu Kati ya TZ na Kenya kama sasa hivi tunavyiona Kati ya China na Marekani ktk kila mmoja kutetea maslai yake Kenya ataitumiaje GDP kuiadhibu TZ iliona GDP ndogo hilo ndio swali languMkuu
Nashukuru kwa kuingia kwenye mjadala
Hilo gap la mwananchi na mwananchi ni la dunia nzima,hakuna nchi wananchi wanalingana!
Vidole havilingani,watu hawalingani,and it will never happen!
Kilichopo tuangalie vitu ambavyo binadamu ana uwezo navyo na anaweza vipima na kuvitolea uamuzi,GDP ni mojawapo wa hizo metric japo ina mapungufu yake!
Kwa mimi muumini wa ubepari wa wazi na soko huru,economic gaps between watu ndani ya nchi is none of anybody's business na infact ni parameter controlled by the people individually!
Kenya ni mfano halisi wa kuigwa kwa nchi za ukanda wetu huu...
Kenya inaishi kwa vitendo kwenye uchumi wa soko na ubepari huru na waliandaliwa tangu mwaka 1962!
Sisi ma-capitalist libertarianists tunaamini wananchi waachiwe huru wafanye chochote wakitakacho kujijengea mali kwa kadiri ya uwezo wa akili zao,serikali isimamie sheria tu...
Wananchi wakiwa huru,uzalishaji wao hauwezi kufanana kwa hali yeyote,wenye akili na juhudi watapata mali nyingi zaidi ya wajinga na wasio na juhudi...
Hawa wajinga na wasio na juhudi ni jukumu lao kuishi kwenye shida kama walivyojitakia na serikali haitakiwi kuchukua our public funds kuwasaidia kwa lolote....
Infact ni vizuri na bora wakafa kabisa maana kazi yao ya msingi ya ku-survive for whatever means neccesary na kazi hiyo ya asili imewashinda ambapo ni kosa lao wahusika na sio mwengine yeyote yule!
Hakuna mtu kaja duniani kuingia gharama kuendesha maisha ya mwanadamu mwingine....
Jukumu kubwa la kiasili ya kila kiumbe hai tulilonalo ni kutumia nguvu na akili zetu zote ku-survive,hicho kikimshinda mtu ni haki yake afe,na ni rightful so!
Kenya kama nchi na group of people they are living proof of this crucial best way of living....and we all have to copy and live better and execute this capitalism better than them kwa hii nchi kuona 21 century!
Otherwise tutabaki na mawivu ya kitoto na hii nchi itakuja kupotea kama ilivyo....
Malawi amechukua ziwa nyasa,Kenya atachukua northern Tanzania and nothing you can do maana the whole country ni weak minded population filled with stupid socialistic dogmas!
Kama unabishana na mtu,hata kama hujasoma post yake yote,ni bora usiseme tu maana ni kama umwabie na yeye asisome post yako..Kwanza kabisa mm cwez kusoma hadithi ,nimesoma mistar 10 tu ila nimegundua hujanielewa .Mimi sijamaanisha mtu mmoja mmoja nimesema nchi Kwa nchi . Kenya GDP ipo kubwa na unalalamika wametupita sawa linapokuja swala la kupimana ubavu Kati ya TZ na Kenya kama sasa hivi tunavyiona Kati ya China na Marekani ktk kila mmoja kutetea maslai yake Kenya ataitumiaje GDP kuiadhibu TZ iliona GDP ndogo hilo ndio swali langu
Sasa comment au ndio habari husikaKama unabishana na mtu,hata kama hujasoma post yake yote,ni bora usiseme tu maana ni kama umwabie na yeye asisome post yako..
Ni very funny wewe unategemea mimi nitasoma post yako yote halafu wewe kwangu usisome!
Ukubwa wa post ya mtu unatumia kipimo gani kulinganisha?Huna kipimo
Ishu ni kwamba,hujasoma my post na mimi sijasoma your post exactly the same way!
GDP kubwa ni kitu muhimu sana kuonesha hii nchi ina uzalishaji na trade volume kiasi gani.....
Kenya ina clout kubwa zaidi ya TZ economically na ki-umaarufu na influence kwa other nations!
Kenya kibiashara ni muhimu zaidi huko duniani zaidi ya Tanzania maana ina trade volume kubwa zaidi....Kibiashara TZ itafatwa baadae baada ya Kenya kula share
Sasa unadhani Kenya hana nguvu ya ku-pull strings na kuinyima Tanzania benefits kwa vitu kadhaa wa kadhaa globally?
Think again!
Muulize Kikwete alipata ugumu gani kutetea Kiswahili kitumike AU na nani alikua anakataa kisitumike!
Uzuri Kikwete ni master wa diplomasia akaa nao kidiplomasia wakakubali....It was Kenya who blocked that shit out!
Huo ni mfano mmoja tu,tena wa lugha kuu ya nchi zote mbili!
Kwenye hela na biashara je?Kenya aki-pull strings kuna vitu tutakosa!
Sasa comment au ndio habari husika
Mkuu
Nashukuru kwa kuingia kwenye mjadala
Hilo gap la mwananchi na mwananchi ni la dunia nzima,hakuna nchi wananchi wanalingana!
Vidole havilingani,watu hawalingani,and it will never happen!
Kilichopo tuangalie vitu ambavyo binadamu ana uwezo navyo na anaweza vipima na kuvitolea uamuzi,GDP ni mojawapo wa hizo metric japo ina mapungufu yake!
Kwa mimi muumini wa ubepari wa wazi na soko huru,economic gaps between watu ndani ya nchi is none of anybody's business na infact ni parameter controlled by the people individually!
Kenya ni mfano halisi wa kuigwa kwa nchi za ukanda wetu huu...
Kenya inaishi kwa vitendo kwenye uchumi wa soko na ubepari huru na waliandaliwa tangu mwaka 1962!
Sisi ma-capitalist libertarianists tunaamini wananchi waachiwe huru wafanye chochote wakitakacho kujijengea mali kwa kadiri ya uwezo wa akili zao,serikali isimamie sheria tu...
Wananchi wakiwa huru,uzalishaji wao hauwezi kufanana kwa hali yeyote,wenye akili na juhudi watapata mali nyingi zaidi ya wajinga na wasio na juhudi...
Hawa wajinga na wasio na juhudi ni jukumu lao kuishi kwenye shida kama walivyojitakia na serikali haitakiwi kuchukua our public funds kuwasaidia kwa lolote....
Infact ni vizuri na bora wakafa kabisa maana kazi yao ya msingi ya ku-survive for whatever means neccesary na kazi hiyo ya asili imewashinda ambapo ni kosa lao wahusika na sio mwengine yeyote yule!
Hakuna mtu kaja duniani kuingia gharama kuendesha maisha ya mwanadamu mwingine....
Jukumu kubwa la kiasili ya kila kiumbe hai tulilonalo ni kutumia nguvu na akili zetu zote ku-survive,hicho kikimshinda mtu ni haki yake afe,na ni rightful so!
Kenya kama nchi na group of people they are living proof of this crucial best way of living....and we all have to copy and live better and execute this capitalism better than them kwa hii nchi kuona 21 century!
Otherwise tutabaki na mawivu ya kitoto na hii nchi itakuja kupotea kama ilivyo....
Malawi amechukua ziwa nyasa,Kenya atachukua northern Tanzania and nothing you can do maana the whole country ni weak filled with wrong socialistic dogmas!
YSasa bro
Tutumie kipimo gani kisichokua na flaws?
Vipimo vyote vina flaws!
Tutumie kipimo cha "macho" yako wewe binafsi,eti nilipita Nairobi na Dar es Salaam nikaangalia kwa macho yangu Kenya ni masikini na Tanzania ni masikini?
Bro,hebu tuweni serious bwana!
MkuuNadhani labda tuseme uwezo sio kifedha ila uwezo wa asset kwenye jamii. Au wa mtu mmoja mmoja wa hali ya chini. Tanzania wengi wa hali ya chini wana umasikini wa kifedha lakini asset wise ni matajiri. Mfano chukua vijana kumi randomly umri kuanza miaka 20 hadi 35 wengi wanamiliki ardhi wapi? Mostly likely Tanzania lakini Kenya labda awe koo ya Kenyatta. Labda ni uliza ni 'weli au laa? Lakini pia hiyo Nairobi imejengeka sana kwasababu ya investment ya mashirika mengi lakini pia na wakoloni walichangia sana hatuwezi linganisha na dms wakati wa uhuru na sasa, aun linganisha maendeleo ya Nairobi na dsm wakati wa uhuru wa Tz I bet Nairobi was far better so dsm imejengwa na watanzania at most.
Y