GE2025 Kwa kinachoendelea mtaani, ni wazi Tundu Lissu/CHADEMA wana kazi kubwa ,No reforms No election it was wrong timing

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
..uchaguzi bila chadema utakosa ushindani na utakuwa mufilis.
CHADEMA ndyo standard measure ya democracy??? mnajisumbua, watu wameshasahau wako busy na uchaguzi, subirini muone kama nchi itasimamishwa
 
Hata uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema wana CCM nao walikuwa kila mtu na mgombea wake. Ungekuwa mtu wa kubet ungeelewa haraka.
 
Ndugu mimi nina swali. Vuguvugu zakudai uhuru zilianza mwaka gani na uhuru ukapatikana lini?
 
Vyama vingine ni vyama gani?
 
Mbunge mmoja wa kazi gani ?
 
Nani kakulazimisha?we shiriki huo uchaguzi na hawajalazimisha watu wote wasishiriki .
 
Kuna baadhi ya comment ukizisoma humu ndani huwezi amini kama kweli walioandika ni watu au laa, kuna haja ya kulifanyia utafiti suala hili kwani mimi naliona kama ni tatizo/ STATEMENT OF PROBLEM
 
Nani kakulazimisha?we shiriki huo uchaguzi na hawajalazimisha watu wote wasishiriki .
rejea upumbavu ulio andika "mtu anayeshiriki uchaguzi hana akili" i.e watanzania woote wanatakiwa watii mawazo ya CDM ya NRNE?? that's UTOPIA
u see, mawazo tofauti ni afya kwa demokrasia kuliko kulazimisha unachoamini kuwa universal, hapo unaturudisha kwenye communist theory
Diverse thinking is indeed a fundamental aspect of a thriving democracy​
 
Usipandikize hoja zako kwa wanachama wa Chadema!
 
Kwa sasa bila chadema hakuna chama kingine Cha upinzani, maelfu ya watu mtaani wanasema bila chadema kushiriki uchaguzi, hawaendi kupiga kura..
 
Kwanini unataka no REFORM NO ELECTION iliyo anza miaka 2 nyuma na sita sasa na kuendelea?. Huu uchaguzi usikupofushe ukatoka kwenye madai yako ya msingi.
CCM hawapendi ushindani wa kweli, si lazima CHADEMA ishiriki kwenye kiini macho cha uchaguzi. Bila sheria na mazingira kurekebishwa naungana na wasioshiriki.
 
Haahaa michango Gani wanatia hao ? Sema wameungana na watesi Ili kuendelea kula keki ya taifa mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…