GE2025 Kwa kinachoendelea mtaani, ni wazi Tundu Lissu/CHADEMA wana kazi kubwa ,No reforms No election it was wrong timing

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chadema hawana cha kupoteza. Tena Mimi nawashauri wahamie CCM na wao wapambanie maslahi ya matumbo Yao waache kusumbuka na watanzania wasio jtambua.
Moja ya wazo zuri katika siku ya leo ni hili.
 
Polepole na G200+ wanasema NOREFORMS in CCM, NO ELECTION.
Wananchi wanasema NO REFORMS, NO ELECTION in general.
 
Kilichowahi kufanyika ''on right timing '' kwenye siasa zinazohusisha chama tawala ni kipi?
Tangu enzi za nccr,cuf now chadema?
Mkuu hii nchi ina WAJINGA wengi sana.
Sidhani kama hata ataelewa mantiki ya swali lako
 
Unajivunjia heshima,mtu mzima unakua lofa Kwa Nini lakini??Kuna chama cha Upinzani zaidi ya CHADEMA?? acha izo wewe
 
CHADEMA ikifa CCM mnapata hasara gani!?
 
Hizo akili hawana.Wao walikalia kuimbishana kauli mbiu ya kijinga uku wakikaririshana mambo ya miaka mitano nyuma nakujiona special.
 
CHADEMA na Lissu watakumbukwa na vizazi vijavyo. Leo tunaweza kuwabeza na kuwacheka ila ipo siku nafasi zitakiri ya kwamba hakika CHADEMA ilikuwa mbele ya muda.
 
Hizo akili hawana.Wao walikalia kuimbishana kauli mbiu ya kijinga uku wakikaririshana mambo ya miaka mitano nyuma nakujiona special.

Ujinga ni kufanya jambo lile lile la kijinga na kutegemea mabadiliko. CHADEMA wamekataa huo ujinga wamewaachia CCM na vibaraka wa CCM 16
 
It is insane to do the same all the time and expect changes!!! Ni upumbavu kufanya jambo Hilo Hilo Kwa namna hiyo hiyo halafu utarajie mabadiliko!!! All the best CDM
 
Aisee
 
Cha ajabu hao wenyewe badala ya kukomaa na na NRNE ndio kwanza wako bize na uchaguzi wa ndani wa CCM
 
No, it was normal wrong timing. It was simply wrong, period. Even the President cannot stop the elections, sembuse Polex2?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…