Ramani naangalia kwenye mitandao mpaka sasa nimevutiwa na hizi,Kwako inawezekana ni hela ndogo.
Ila kwa kuwekeza kwa miez 6 au mwaka ni hela inafanya kitu site.
Una mchoro?.
Kiwanja chako ni ngap kwa ngap?.
Unataka ujenge vyumba vya ukubwa gan?.
Kwa Kawaida chumba kidogo kabisa ni mita 3 kwa 3 (futi 10 kwa 10) na sebule ni mita 5 kwa mita 5 (futi 16 kwa 16)
Na choo ni mita 1 upana na urefu ni mita 2( futi 3 kwa futi 6).
Ww ni Single Mother. Sasa kwanza hebu anza kujua tofaut ya Mita na Futi ili Fund asikuzingue.
Pili , ndio ujue saiz ya nyumba yako unataka uwe na ukubwa gan.
Tatu chora kiraman chako na umuonyeshe Fund kuwa unataka hiki na hiki. Na kiwe wap na wapi.
Based na Vipimo vyako.
Na hapa ndio utajua tofali ngap utatumia kwenye msingi na kujengea.
Ndugu yangu nimejifunza hii dunia sio kwa watu dhaifu, ni kupambana kila kona ili tufike malengo na tukiondoka tuache alama kua tulikuwepo.Penye nia pana njia
Hapa kuna watu wanakejeli lakini kiuhalisia Mungu ndio anajua walivyo
Kuna watu wengine wangemuunga hata hela za kuanzia
Imagine watu 100 wakachangia 10k kila mmoja
Hakika hii dunia ni kupambana mpaka kieleweke.Ndugu yangu nimejifunza hii dunia sio kwa watu dhaifu, ni kupambana kila kona ili tufike malengo na tukiondoka tuache alama kua tulikuwepo.
Nawashukuru nyote mnaonitia moyo, hamjui tu ninavyofarijika.
Shukrani sana mpambanajiHakika hii dunia ni kupambana mpaka kieleweke.
Nakumbuka niliondoka nchini nikiwa na miaka 19 tu bila kujua naenda kuwa na maisha gani
Ila nilienda kupambana na kuwa na maisha yangu mwenyewe.
Usivunjike moyo hata siku moja
Ukianguka amka pangusa vumbi endelea
Sorry, the number you are calling is not reachable at the moment please upgrade your salary to at least 700k per month or try again laternaombeni mnitie moyo
Labda nyumba ya milele 😂😂😂 Natania ....Salaam waungwana,
Mimi ni mwanamke mwenye mtoto mmoja kiu yangu kubwa ni kupata kijumba changu kidogo tustirike na mwanangu, naombeni mnitie moyo je kwa shilingi laki mbili kwa mwezi naweza kujenga chumba, sebule, jiko dogo na choo? kiwanja kipo tayari maeneo ya Mkuranga, hili jambo linaniwazisha hadi nakosa usingizi natamani sana nipate kwangu ila kila nikifurukuta kipato changu ndio hicho,
Mtoto bado mdogo hajaanza kusoma, natamani niwe nimekamilisha kabisa ndoto yangu ya kua na kwangu kabla sijaingia kwenye heka heka za kusomesha.
Nimelileta huku najua kuna mafundi na wenye uzoefu wa kujenga kwa kudunduliza,
Napokea maoni, mawazo.
Chakula, nauli, matibabu200k kwa mwaka ni 2.4 Mill.
Bila kupakiana Mafuta,Salaam waungwana,
Mimi ni mwanamke mwenye mtoto mmoja kiu yangu kubwa ni kupata kijumba changu kidogo tustirike na mwanangu, naombeni mnitie moyo je kwa shilingi laki mbili kwa mwezi naweza kujenga chumba, sebule, jiko dogo na choo? kiwanja kipo tayari maeneo ya Mkuranga, hili jambo linaniwazisha hadi nakosa usingizi natamani sana nipate kwangu ila kila nikifurukuta kipato changu ndio hicho,
Mtoto bado mdogo hajaanza kusoma, natamani niwe nimekamilisha kabisa ndoto yangu ya kua na kwangu kabla sijaingia kwenye heka heka za kusomesha.
Nimelileta huku najua kuna mafundi na wenye uzoefu wa kujenga kwa kudunduliza,
Napokea maoni, mawazo.
Wewe mzee upo? Hujachaguliwa diwani wa Camden bado?Hakika hii dunia ni kupambana mpaka kieleweke.
Nakumbuka niliondoka nchini nikiwa na miaka 19 tu bila kujua naenda kuwa na maisha gani
Ila nilienda kupambana na kuwa na maisha yangu mwenyewe.
Usivunjike moyo hata siku moja
Ukianguka amka pangusa vumbi endelea
Hahaha kuna mwanangu anataka kuwa Mbunge mimi nimerudi kijijini kula kukuWewe mzee upo? Hujachaguliwa diwani wa Camden bado?
Shukrani sana dokta umenipa nguvu,Unaweza kujenga nyumba kwa kipato hicho my dear mtu asikutishe, uzuri kiwanja tayari unacho na ujenzi wa Dar/Pwani hua hauna gharama ardhi tambarare mchanga hapo hapo site,
Fuata ushauri wa waliotangulia, ukikwama mahali niambie usiogope wanawake kusaidiana💪
Mtoto wetu hajambo? atakua anakimbia sasa hivi, mpe salamu.
xx
Ni kazi kweri kweri (JPM).Sio mchezooo kwa kweriiiii
Kama unachosema ni kweli.Salaam waungwana,