Kwa kipengele hiki Yanga hata waende FIFA hawatapewa point tatu

Bichwa fuvu tarehe 8 kulikua na uvunjifu upi wa usalama pale uwanjani?vilivunjwa viti?yalivunjwa mageti?kuna watu walijeruhiwa?
Soma Hapa nilipozungushia wino wa njano acha kujifanya huna akili,usalama hauanzii siku ya mechi unaanza kabla,Unajua Ofisa usalama amepeleka taarifa gani kwa bodi ya ligi? Ngalikihinja Mbaga Jr
 
Attachments

  • e3b8fcda-05ea-4f6f-9b3c-3ef54cca4792.jpeg
    e3b8fcda-05ea-4f6f-9b3c-3ef54cca4792.jpeg
    66.5 KB · Views: 1
Na sijui kwanini kuna watu wanatumia nguvu sana kuelewa jambo jepesi hivyo. Sababu iliyotajwa kuhairisha mechi si Simba kusema hawatacheza.

Wewe joseph1989 embu soma na hapa labda utamuelewa huyu.
Hii Yanga bila GSM ingekuwa inafanana point na Kagera sugar. Matendo Yao yanahatarisha usalama. Kulikuwa na sababu gani kuzuia Simba wasiingie uwanjani?. Simba isingetumia busara Leo tungekuwa tunaongea mengine 😞
 
We umeelewa point yangu vizuri kabisa,bravo
 
Jeuri hiyo waitoe wapi?

Nimeona baadhi ya maoni ya mashabiki wa Yanga wakiwahusia viongozi wao kuepuka mtego huo kwa kile walichokidai kuwa haitakiwi kuingiza siasa na mpira.

Lakini ni mashabiki hao hao wanaokuja uwanjani wakiwa wamevaa tisheti zenye picha ya raisi wakisema mitano tena.

Hapa walimuita wenyewe aje amuone Feitoto. Lakini leo hii wakisikia anakuja kwenye Derby hawataki wanasema siasa michezoni hairuhusiwi.

View attachment 3265215

Wana Yanga tushike lipi mbona mnatuchsnganya?
View attachment 3265214

Na wengine wanaona haitoshi wanabeba mpaka mabango.
View attachment 3265213
Halafu leo hii eti kwasababu mnaona ujio wake utaenda kufifisha msimamo wa azimio lenu ndio muanze kuona mpira unaingiliwa na siasa?

Shensiiii mtaleta timu iwe kwa kupenda au kwa kutopenda. Na hamna sehemu yeyote ambayo mtaenda kushtaki mkasikilizwa.

Huyo Simon Patrick anayewashauri kuwa muende FIFA anawaponza.
Hii ni shortcut moja kali sana. Tajiri GSM hawezi thubutu fanya jambo lolote la kumkera Mama. Pia mama hawezi kukataa kuwa mgeni rasmi wa derby ya Kkoo kwa kuzingatia huu mwaka tuliopo.
 
Ukija na akili za kishabiki unaona kabisa Yanga wanapewa point 3 ila ukituliza akili vizuri, ukawaza kwa kutulia basi hakuna point za mezani. Hii kesi Yanga hata waende CAS hawashindi.
Kwa hapa ndan TFF tunawaona hawana nguvu mbele ya Yanga ila kule CAF na FIFA hawa wana nguvu kuliko Yanga.
 
Jaman mpira unalipa kumbe na hata hamsemi eh😹
Nenda kapate boyfrwndmchezaji wa yanga aisee utaenjoy sana maana utahongwa hela na kileleni utafikishwaa haswaaaa.

Sii unaona lakini mobeyo anavyo ngaaa baada ya kupata dloboloz la shemeji wetu na mamilion ya ndalama
 
NImekua nikifuatilia maoni ya wadau wengi kuhusu sakata la kuahirishwa mechi kati ya Simba na Yanga mnano Tarehe 8.3.2025.
Baada ya club ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi waliandika kwa Umma kuwa hawataweza kucheza mchezo huo tajwa,Bodi ya Ligi walikuja na barua hii na kahirisha mechi.

Bila shaka Bodi iliahirisha mechi kutoka na taarifa ya Afisa usalama wa mchezo
Nanukuuu

“kwasababu Bodi ilipokea pia taarifa ya ofisa Usalama wa mchezo ambayo imeainisha matukio kadhaa….”

Hapa ni dhahiri Bodi iliahirisha mchezo kwa kanuni za usalama,

Hakuna mahali Yanga wala Simba watapata point za mezani wala kushinda kesi kwenye mamlaka yeyote ile.

Soma kanuni ya 34 1.3 iliyotumiwa na Bodi ya Ligi kuahirisha mchezo kama walivyoandika kwa Barua yao.

Case closed

Kazi ni kipimo cha utu
 
Jeuri hiyo waitoe wapi?

Nimeona baadhi ya maoni ya mashabiki wa Yanga wakiwahusia viongozi wao kuepuka mtego huo kwa kile walichokidai kuwa haitakiwi kuingiza siasa na mpira.

Lakini ni mashabiki hao hao wanaokuja uwanjani wakiwa wamevaa tisheti zenye picha ya raisi wakisema mitano tena.

Hapa walimuita wenyewe aje amuone Feitoto. Lakini leo hii wakisikia anakuja kwenye Derby hawataki wanasema siasa michezoni hairuhusiwi.

View attachment 3265215

Wana Yanga tushike lipi mbona mnatuchsnganya?
View attachment 3265214

Na wengine wanaona haitoshi wanabeba mpaka mabango.
View attachment 3265213
Halafu leo hii eti kwasababu mnaona ujio wake utaenda kufifisha msimamo wa azimio lenu ndio muanze kuona mpira unaingiliwa na siasa?

Shensiiii mtaleta timu iwe kwa kupenda au kwa kutopenda. Na hamna sehemu yeyote ambayo mtaenda kushtaki mkasikilizwa.

Huyo Simon Patrick anayewashauri kuwa muende FIFA anawaponza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Jeuri hiyo waitoe wapi?

Nimeona baadhi ya maoni ya mashabiki wa Yanga wakiwahusia viongozi wao kuepuka mtego huo kwa kile walichokidai kuwa haitakiwi kuingiza siasa na mpira.

Lakini ni mashabiki hao hao wanaokuja uwanjani wakiwa wamevaa tisheti zenye picha ya raisi wakisema mitano tena.

Hapa walimuita wenyewe aje amuone Feitoto. Lakini leo hii wakisikia anakuja kwenye Derby hawataki wanasema siasa michezoni hairuhusiwi.

View attachment 3265215

Wana Yanga tushike lipi mbona mnatuchsnganya?
View attachment 3265214

Na wengine wanaona haitoshi wanabeba mpaka mabango.
View attachment 3265213
Halafu leo hii eti kwasababu mnaona ujio wake utaenda kufifisha msimamo wa azimio lenu ndio muanze kuona mpira unaingiliwa na siasa?

Shensiiii mtaleta timu iwe kwa kupenda au kwa kutopenda. Na hamna sehemu yeyote ambayo mtaenda kushtaki mkasikilizwa.

Huyo Simon Patrick anayewashauri kuwa muende FIFA anawaponza.
Wamejisahaulisha pia walivyoalikwa ikulu na mama, hawakusema tusichanganye siasa na michezo, lakini ghafla leo ndio wamekumbuka hilo
 
Back
Top Bottom