Kwa kipengele hiki Yanga hata waende FIFA hawatapewa point tatu

Kwa kipengele hiki Yanga hata waende FIFA hawatapewa point tatu

Soma hapo nilipozungushia wino wa njano mkuu
Bado hapo haiwezi kuipa uhalali bodi ya ligi kuhairisha mechi

1) swala la usalama limetokana na nini?
Wao wenyewe bodi ya ligi wamekiri juu kuwa Simba hawakufanya mawasiliano yeyote na maofisa wa mechi, mamlaka ya uwanja na timu mwenyeji ili waweze kuwafanyia maandalizi ya kikanuni. Hapa ni wao wenyewe Simba wamehatarisha usalama wao.

2) Kuna matukio linalopaswa kuhairisha mchezo endapo kuna kiongozi au mchezaji katika tukio hilo kajeruhiwa au kafariki lakini kuishia kusema kwamba mechi inahairishwa kwasababu tu ya uchunguzi ni kushindwa kufuata vigezo vya uhairishaji wa mechi iliyopo katika kanuni.
 
Nenda kapate boyfrwndmchezaji wa yanga aisee utaenjoy sana maana utahongwa hela na kileleni utafikishwaa haswaaaa.

Sii unaona lakini mobeyo anavyo ngaaa baada ya kupata dloboloz la shemeji wetu na mamilion ya ndalama
Niunganishe na mmoja basi nianze kung'aa😹😹
 
Umeandika ujinga, Ishu ya Usalama wanaotoa Ripoti ni Jeshi la Polisi na wenye mamlaka za Usalama. BODI YA LIGI wanajuaje masuala ya USALAMA bila taarifa ya Jeshi la Polisi na hao ndio wenye dhamana ya Usalama? Pia unajuaje usalama wakati mechi ni Jioni na Jeshi la Polisi wamepeleka ulinzi pale?
Umeandika Upumbavu.
Halafu,mechi ilikuwa kesho yake,kilichotakiwa ni kuimarisha usalama ili siku ya mechi kuwe na usalama. Taarifa za kiintelijensia zinaweza kuahirisha u chaguzi mkuu?
 
Usijali ila sasa nawe usiwe mchoyo wa mbususu mammy maana raha ya mche,aji ni kutomberz
Lazima niwe mchoyo kwakweli nisije toa baadae tunamaliza akimbie sitanunua Ata kiwanja mbagala Kwa hali iyo 😹😹
 
NImekua nikifuatilia maoni ya wadau wengi kuhusu sakata la kuahirishwa mechi kati ya Simba na Yanga mnano Tarehe 8.3.2025.

Baada ya club ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi waliandika kwa Umma kuwa hawataweza kucheza mchezo huo tajwa,Bodi ya Ligi walikuja na barua hii na kahirisha mechi.

Bila shaka Bodi iliahirisha mechi kutoka na taarifa ya Afisa usalama wa mchezo
Nanukuuu

“Kwasababu Bodi ilipokea pia taarifa ya ofisa Usalama wa mchezo ambayo imeainisha matukio kadhaa….”

Hapa ni dhahiri Bodi iliahirisha mchezo kwa kanuni za usalama,

Hakuna mahali Yanga wala Simba watapata point za mezani wala kushinda kesi kwenye mamlaka yeyote ile.

Soma kanuni ya 34 1.3 iliyotumiwa na Bodi ya Ligi kuahirisha mchezo kama walivyoandika kwa Barua yao.

Case closed.

Wametumia kifungu 34 (1) 1.3 kinachosema, Sababu ya dharura au/na yenye msingi itakayokubaliwa na TFF.
1. Bodi ya ligi ndo TFF?
2. Sababu ya msingi ni ipi?
3. Sababu ya dharula ni ipi?
 
Hii ngoma isipoingia mkono wa siasa
Amini nakwambia simba hachomoki
The only way ya simba kuchomoka kwny huu msala ni siasa kuingilia kati which is illegal lakin ndo mfumo wa mpira wetu TZ
Naungana na wewe.

Simba haki yao ilipaswa wacheze mpira ndio wapeleke malalamiko ila sio kugomea mechi kwasasabu za kipuuzi.
 
Viongozi wa Simba wana akili kubwa sana.
Ila huku kwetu nyuma mwiko tunathibitisha kuwa, bado hadi sasa wenye akili ni walewale watu wawili.

Na jana tumepeleka Basi la Yanga hadi uwanja wa mazoezi wa Simba. Na kuanza kuupromoti uwanja wa mazoezi wa 'Mo Simba Arena' bila kulipwa chochote.
 
NImekua nikifuatilia maoni ya wadau wengi kuhusu sakata la kuahirishwa mechi kati ya Simba na Yanga mnano Tarehe 8.3.2025.

Baada ya club ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi waliandika kwa Umma kuwa hawataweza kucheza mchezo huo tajwa,Bodi ya Ligi walikuja na barua hii na kahirisha mechi.

Bila shaka Bodi iliahirisha mechi kutoka na taarifa ya Afisa usalama wa mchezo
Nanukuuu

“Kwasababu Bodi ilipokea pia taarifa ya ofisa Usalama wa mchezo ambayo imeainisha matukio kadhaa….”

Hapa ni dhahiri Bodi iliahirisha mchezo kwa kanuni za usalama,

Hakuna mahali Yanga wala Simba watapata point za mezani wala kushinda kesi kwenye mamlaka yeyote ile.

Soma kanuni ya 34 1.3 iliyotumiwa na Bodi ya Ligi kuahirisha mchezo kama walivyoandika kwa Barua yao.

Case closed.

Hamna sababu ya kisheria labda siasa.
KAZI ya kamati ya masaa 72 ni nini?? Sheria inataka ucheze mpira ndio ulalamike.

Huu ujinga amini msiamini timu ndogo zitafanya hivyo na zitajitetea by references
 
Umeandika ujinga, Ishu ya Usalama wanaotoa Ripoti ni Jeshi la Polisi na wenye mamlaka za Usalama. BODI YA LIGI wanajuaje masuala ya USALAMA bila taarifa ya Jeshi la Polisi na hao ndio wenye dhamana ya Usalama? Pia unajuaje usalama wakati mechi ni Jioni na Jeshi la Polisi wamepeleka ulinzi pale?
Umeandika Upumbavu.
Wewe ndiye umeandika ujinga,hujui kama jukumu la usalama wa mechi ni la jeshi la polisi na miongoni mwa maofisa wa mechi yupo Afisa Usalama wa mechi (S.O) ambaye ni Afisa wa Polisi ASP Hashim Abdallah ambaye ripoti yake ya kiusalama ndiyo imezingatiwa na bodi katika kufikia uamuzi wa kuahirisha mechi?
 
Attachments

  • markup_42294 (2).png
    markup_42294 (2).png
    1.4 MB · Views: 1
Viongozi wa Simba wana akili kubwa sana.
Ila huku kwetu nyuma mwiko tunathibitisha kuwa, bado hadi sasa wenye akili ni walewale watu wawili.

Na jana tumepeleka Basi la Yanga hadi uwanja wa mazoezi wa Simba. Na kuanza kuupromoti uwanja wa mazoezi wa 'Mo Simba Arena' bila kulipwa chochote.
Wekundu wa msimbazi wewe, wala sio nyuma mwiko.
 
Attachments

  • IMG_20250310_105312.jpg
    IMG_20250310_105312.jpg
    103.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom