Brother kwamba katika wanachama wote wa chadema yeye ndio mwenye akili ya kukipeleka chama mbele?Hadi chama ikoma sawa sawa na wapatikane viongozi waliokomaa kisiasa.
Kwani mbowe alinunuliwa?Hivi vichwa viwili Lissu na Heche labda watumie risasi lakini havinunuliki, mmoja awe Mwenyekiti na mwingine Katibu Mkuu.
Soma post # 54Brother kwamba katika wanachama wote wa chadema yeye ndio mwenye akili ya kukipeleka chama mbele?
Kwani mbowe alinunuliwa?
Umetuhakikishia kumbe hata wajinga wanaweza kuishi Toronto.Kwa ufupi,
Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.
Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.
Mungu ibariki Tanzania,
Toronto-Canada
Duuuh Mbowe kwanini anang'ang'ania madaraka?Umetuhakikishia kumbe hata wajinga wanaweza kuishi Toronto.
Siasa gani?siasa za lisu ndio watanzania hawazitaki ndugu
machafukoSiasa gani?
MTeule aliyepo yupoMnataka yule mkurya amfate dg wa who
Mungu akakufe anzia unywele wako mpaka kisigino chako cha mwisho manaliaribu Taifa alafu mnachekelea .pumbavuKwa ufupi,
Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.
Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.
Mungu ibariki Tanzania,
Toronto-Canada
Hapa imeenda kinyume. CCM ndo tunataka Mbowe aendelee maana Siasa zipo soft softMbowe bado anahitajika Chadema kwa usalama na uhai wake. Mawakala wa CCM ndio wanataka Mbowe aondoke, asiondoke abaki hadi demokrasia itengemae nchini.
Naama hapo umenena kiongoziHivi vichwa viwili Lissu na Heche labda watumie risasi lakini havinunuliki, mmoja awe Mwenyekiti na mwingine Katibu Mkuu.
Mbowe abaki hadi 2030 aendelee kuwaimarisha wa kuwaachia Chama.Brother kwamba katika wanachama wote wa chadema yeye ndio mwenye akili ya kukipeleka chama mbele?
Kwani mbowe alinunuliwa?
Kama ni kweli ushahidi utilewe hadharani ili aumbuke. Ila kweli CCM wawe na ushahidi wasimuumbue?Mbowe amenunuliwa na MARIDHIANO FAKE, CDM inahitaji mabadiliko ya kiuongozi sasa
Kweli kabisaCDM haina kiongoz wa chama kma Mbowe mwisho wa Mbowe ndo mwisho wa CDM
Kipigo gani?Kwa ufupi,