Kwa kizazi hiki inawezekana kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu?

Inawezekana Sana ila Huwa ni maamuz ya mtu binafs
Kesi nyingi zinatokana na kutokubali kupitwa na baadhi ya vitu na kutoridhika na mwenza ulienae .mwisho tuoe na kuolewa na tunaowapenda
#wanawake nyie changamoto sana__sijui mnatakaga nini -unakuta mme wako ama bwanaako anakuduhumia anapambana sana kwaajili yako afu ww unaenda mpa utamu boda boda for free πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Pia inategemea maeneo husika na aina za watu.
 
Sister Abigail kwani wewe huwa unafanyaje πŸ€” au ww hau cheat
 
#wanawake nyie changamoto sana__sijui mnatakaga nini -unakuta mme wako ama bwanaako anakuduhumia anapambana sana kwaajili yako afu ww unaenda mpa utamu boda boda for free πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
πŸ˜€Ila wapo ambao hawacheat jamni
 
Utapewa wa kufanana nae! Sema bn kutulia nae ngumu kama mshkaji wako katulia bas jua ana hali ngumu kiuchumi, ana misimamo ya kidini au madhaifu ya kibioz

Comment yangu isiguswe
Ukiona mwanaume hachepuki, he is commited to himself. Yaani kuna people personal values zko juu sana, kiasi uzinzi inakua ni uchafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…