Kwa kizazi hiki inawezekana kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu?

Inawezekana Sana ila Huwa ni maamuz ya mtu binafs
Kesi nyingi zinatokana na kutokubali kupitwa na baadhi ya vitu na kutoridhika na mwenza ulienae .mwisho tuoe na kuolewa na tunaowapenda
#wanawake nyie changamoto sana__sijui mnatakaga nini -unakuta mme wako ama bwanaako anakuduhumia anapambana sana kwaajili yako afu ww unaenda mpa utamu boda boda for free 😆😆😆
 
Salaam wakuu,

Imenibidi nihoji maana generetion yetu sio poa.sio walio kwenye ndoa sio walio kwenye mahusiano ya kawaida, sio wachumba kukosa uaminifu imekuwa kitu Cha kawaida sana.hadi naogopa.

Kuna visa nimesoma na kushuhudia vingi,zaidi sana matukio vinanifikirisha

Kucheat imekuwa kitu Cha kawaida sana,kupasiana maradhi imekuwa kitu Cha kawaida sana,hasa Kwa Sasa magonjwa ni mengi sanaa. Mara pangusa, mara HIV, gonorrhea, na mengine mengi utaponea wapi ukiwa na mwenza asiejua uaminifu?

Kupakazia mimba imekuwa kawaida wengi wanalea watotot sio wao ila hawajui (poleni wanaume)

Ni sawa binadamu kaumbiwa moyo wenye kutamani,sawa.basi mlinde angalau mwenzio.

Unaopoa changudoa unapiga bila Kinga unarudi nyumbani unampasia mkeo gonjwa ulookota huko.
Sawa una shida ya pesa labda au umependa kijana huko nje umechepuka tumia Kinga unakuja kumbwagia mwenzio ndani mimba sio yake huku unajua kabisa.

Ukiacha magonjwa au mimba Kuna vifo. Ukosefu wa uaminifu ni matokeo ya migogoro endelevu Kwa baadhi hupelekea kufanyiana ukatili.

TUWE NA UTU.KAMA HUWEZI KUJIZUIA CHUKUA TAHADHARI BASI.MLINDE MWENZA WAKO NA JITAHIDI KUFICHA UHUNI WAKO
Pia inategemea maeneo husika na aina za watu.
 
Sister Abigail kwani wewe huwa unafanyaje 🤔 au ww hau cheat
 
#wanawake nyie changamoto sana__sijui mnatakaga nini -unakuta mme wako ama bwanaako anakuduhumia anapambana sana kwaajili yako afu ww unaenda mpa utamu boda boda for free 😆😆😆
😀Ila wapo ambao hawacheat jamni
 
Utapewa wa kufanana nae! Sema bn kutulia nae ngumu kama mshkaji wako katulia bas jua ana hali ngumu kiuchumi, ana misimamo ya kidini au madhaifu ya kibioz

Comment yangu isiguswe
Ukiona mwanaume hachepuki, he is commited to himself. Yaani kuna people personal values zko juu sana, kiasi uzinzi inakua ni uchafu.
 
Back
Top Bottom