Kwa kizazi hiki kinachosoma kwa kutumia Artificial inteligent lazima mabumunda yajazane kwenye ofisi za umma

Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake.

Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu.

Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana.

Ofisi zimejaza mabumunda tupu.
Ei ai ni janga la taifa. no reasoning, no critical thinking.. ubongo zimeacha kufikiri zinategemea AI
 
Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake.

Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu.

Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana.

Ofisi zimejaza mabumunda tupu.
Kitu kingine kinachosikitishs wanapenda sana pesa za kudownload/mserereko yaani kazi kidogo pesa nyingi
 
Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake.

Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu.

Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana.

Ofisi zimejaza mabumunda tupu.
Hivi washaanza kuingia maofisini!?..hiyo generation ni mavi, ndiyo maana inayumbishwa na wadangaji, yaani wako simple simple na wanapenda vitu rahisi
 
Mtu Kama ni mjinga ni mjinga

Mbona Mimi nikikaa na wazee hata wa hapa JF wengi mbona wana upeo mdogo

Ebu mtazame huyu mzee wa jf

👇🏾
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 21
Hayo ni mabadiliko ya kidunia, hakuna namna ya kuyaepuka..

AI ikitumiwa vizuri huleta faida na manufaa, kuhusu vijana kuwa wazembe hiyo ni hulka na upeo wa mtu, wengine AI tunatumia na bado tunatenda vyema.
 
kwahio hata kujibu hapa umetumia AI
 
akili mnemba inapumbaza sana
Kweli inapumbaza, hasa Kwa wanao itegemea kuwapa majibu ya maswali ambayo walipaswa kuyahifadhi vichwani mwao.

Kuna data mtu huwezi zijua au kufundishwa shuleni, Sasa utazipata wapi na Kwa usahihi zaidi ya kutumia AI?
 
Kila kitu kina hasara na Faida...by the way hao walioko ofisini sasa hivi wameifanyia nini hii nchi zaidi ya kuitupa kwenye umaskini wa kutupwa kabisa... AI ikitumiwa vizuri inakuja kuwa game changer Hapa nyumbani TZ.
 
Dunia haihitaji matumizi ya nguvu kupita kiasi. Ndio maana zimeletwa machine kurahisisha kazi, badala ya kuuchosha ubongo kufanya mahesabu tunatumia tu calculator chapu tunapata jawabu.
 
Inategemea ni swali la aina gani?

Kapewa hesabu afanye badala yake anacopy kutoka AI?

Au ni swali la kutafuta taarifa, in which case inaweza kuwa ni wivu, coz they got all the information at the tip of their hands while we had to spend hours / days / weeks in libraries.

Either way, humans were created to work and rest. Today we are either overworking and no time to rest, or we're not working at all (physically, mentally) while resting pretty much the whole time.

Neither of this is natural and its causing chaos in more ways than one.........as we approach the day of the LORD when he'll reset things.
 
Endelea kusapoti upuuzi
 
Dunia haihitaji matumizi ya nguvu kupita kiasi. Ndio maana zimeletwa machine kurahisisha kazi, badala ya kuuchosha ubongo kufanya mahesabu tunatumia tu calculator chapu tunapata jawabu.
huchoshi ubongo? then unaufeed mambo ya ngono

thinking capacity imepungua sana kwa raia wanaotumia akili mnemba
 
Back
Top Bottom