Kwa kizazi hiki kinachosoma kwa kutumia Artificial inteligent lazima mabumunda yajazane kwenye ofisi za umma

Kwa kizazi hiki kinachosoma kwa kutumia Artificial inteligent lazima mabumunda yajazane kwenye ofisi za umma

Usilie sasa , futa machozi 🤣🤣 tunza afya yako vizuri !! Madaktari tarajari tunakuja huko !!
Za kunywa tutakwambia upake , na za kupaka tutakwambia unywe ! Zingine uchome

Viva Artificial Intelligence 🤣🤣
 
AI ili ikupe majibu mazuri you need to be smart too .

Kwahiyo competence bado itabaki pale pale .
 
Next generation will lack Knowledge and wisdom
Actually the AI generation is the most informed, knowledgeable generation.

Niliwahi kusoma zamani, utafiti: mtoto wa miaka 7 wa miaka ya 2010s, ana stress ambazo alikuwa nazo mtu wa miaka 40 miaka ya 60s.

They didn't have much to think about in the former ages.

You are right about wisdom: coz from the abundance of knowledge in this universe, only lies and trash are the most advertised.
 
Mnashindana mabadiliko ya nyakati Sisi ambao tuna reasoning tumefanya nini pia mfumo wetu wa utumishi wa umma hauruhusu reasoning
 
Mawazo ya kikoloni kutoka kwa wakoloni weusi

Dunia ishabadilika unataka Kaz ya dakika mbili mtu afanye siku nzma?

Unataka afikirie nini kwanza?
 
Kijana akija interview hawa graduate ofisini, mpe karatasi na peni aandike barua kuomba kazi..nakuhakikishia katika 10 basi wawili au mmoja tu ataweza...
Hii ni interview tosha na unaweza usipate hata mmoja😁😁
 
Actually the AI generation is the most informed, knowledgeable generation.

Niliwahi kusoma zamani, utafiti: mtoto wa miaka 7 wa miaka ya 2010s, ana stress ambazo alikuwa nazo mtu wa miaka 40 miaka ya 60s.

They didn't have much to think about in the former ages.

You are right about wisdom: coz from the abundance of knowledge in this universe, only lies and trash are the most advertised.
Zamani kama hamna mvua, basi there's nothing else to think about, no food.

Sahivi kama hamna chakula ndani unawaza uache kazi ujiajiri? Au huna ajira Unawaza umekosea wapi, umekosea kujibu interview, umekosea kuandika barua, umekosea kuchagua fani, Umelaaniwa? Wakati mmeitwa 1000+ nafasi 10.

Au ukakope kausha damu? Una akiba Ufanye bishara gani mtaji $$$?

Infact bora tungeridhika na chakula, bado tunataka nyumba, gari, vacation, outing, nguo mpya, biashara, ada.

Zamani just 30yrs ago kulikuwa hamna hata bill za vocha, unajua stress ya kukosa vocha?

Kwakweli watu wa karne ya 21 tuna matatizo ya aina yetu, people in the past struggled with real physical threats, today we're mostly struggling with internal abstract threats.
 
Back
Top Bottom