rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
leo umeongea kitu cha maanaHivi washaanza kuingia maofisini!?..hiyo generation ni mavi, ndiyo maana inayumbishwa na wadangaji, yaani wako simple simple na wanapenda vitu rahisi
leo umeongea kitu cha maanaHivi washaanza kuingia maofisini!?..hiyo generation ni mavi, ndiyo maana inayumbishwa na wadangaji, yaani wako simple simple na wanapenda vitu rahisi
naomba mfano wa hizo data tafadhaliKweli inapumbaza, hasa Kwa wanao itegemea kuwapa majibu ya maswali ambayo walipaswa kuyahifadhi vichwani mwao.
Kuna data mtu huwezi zijua au kufundishwa shuleni, Sasa utazipata wapi na Kwa usahihi zaidi ya kutumia AI?
akili mnemba inapumbazaKijana akija interview hawa graduate ofisini, mpe karatasi na peni aandike barua kuomba kazi..nakuhakikishia katika 10 basi wawili au mmoja tu ataweza...
Mfano mtu ni fundi, ameona spare na hajui ina specifications zipi, anaipiga picha anauliza AI inampa details zote kuhusu kifaa husika.naomba mfano wa hizo data tafadhali
Watu walipinga sana ujio wa calculatorhuchoshi ubongo? then unaufeed mambo ya ngono
thinking capacity imepungua sana kwa raia wanaotumia akili mnemba
akili mnemba inapumbaza sana na inaondoa creativityWatu walipinga sana ujio wa calculator
Tukubali tu kuwa dhama zinabadilika.
Hivi unajua AI imekuwa msaada sana kwa watu.
Unaweza tengeneza vitu vingi kwa msaada wa AI
hakuna kituMfano mtu ni fundi, ameona spare na hajui ina specifications zipi, anaipiga picha anauliza AI inampa details zote kuhusu kifaa husika.
Mfano mtu anahitaji kujua kuhusu vifungu vya Sheria au taratibu za kisheria, badala ya kuuliza mwansheria anaweza iuliza AI ikampa taarifa zote muhimu kuhusu Sheria.
Mfano mtu ni mfanya biashara, anaweza tafuta taarifa kuhusu masoko mtandao na upatikanaji wa bidhaa anazo hitaji, Anauliza AI inampa data zote kuhusu masoko ya kimtandao na upatikanaji wake.
Mifano ipo mingi ndugu Red black
uko sahihi sanaHivi unajua unahitaji akili ili kuchambua taarifa za AI?
You have to be greater than AI to benefit from AI. You have to know what to edit.
AI is just another google search result to me. I still Google for websites more than I depend on AI's response. Mostly naitumia kutafsiri na ku generate images.
Which is why as days go naichukia because as far maswali yanayohitaji analytical thinking kuna watu ambao ultimately wana control algorithm hivyo wanazishibisha hizi AI majibu ambayo wao anayo.
And it's not God's people behind this.
Akili yako haina uwezo wa kupbanua namna ya kupata majibu ya hayo mapungufu?Hapana, AI naitumia kuzalisha mawazo mapya au kuongezea kwenye mapungufu.
You can be more creative kwa kutumia ai, educate yourself how to use ai kwenye kazi zako, ai sio copy and paste tuu, kuitumia unahitaji uwe na akili piaakili mnemba inapumbaza sana na inaondoa creativity
Anashindwa kufanya brainstorm anakimbilia akili mnembaAkili yako haina uwezo wa kupbanua namna ya kupata majibu ya hayo mapungufu?
sjawahi kutumia AI na wala sitokaa nitumieYou can be more creative kwa kutumia ai, educate yourself how to use ai kwenye kazi zako, ai sio copy and paste tuu, kuitumia unahitaji uwe na akili pia