Kwa kosa hili, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tunamkosea sana

Waziri Mkuu ni mwongo, huo ndio ukweli.

Wewe ka ni mtu mwongo, asituaminishe kuwa kila mtu ni mwongo. Kiongozi unatakiwa kuwa mkweli wa kauli na vitendo.

Mtu mwongo hana haki ya kuwa kiongozi. Hakuna mtu aliyemlazimidha atoe kauli yoyote ile kuhusiana na afya ya Magufuli. Alifanya vile kwa kiherehere chake.

Samia alipotakiwa kuelezea afya ya Magufuli, alisema wazi kuwa Magufuli anaumwa, na akaongeza kwamba binadamu kuugua ni jambo la kawaida. Kwa kutamka vile, ni madhara gani Taifa lilipata?

Uwongo ni tabia, ni hulka ya mtu.
 
Majaliwa NI muongo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…