mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu.
Jambo hilo limewezekana vipi, hata tukiangalia chimbuko la Wayaudi kwenye bibila kama wanavyodai wenyewe ni uzao wa Ebrahimu, je, Ebrahim alikuwa ni mzungu? Kwa kuangalia picha tu unaona kabisa Israel pale sio kwao.