Kwa kuangalia tu na kutumia common sense, pale Middle East Israel siyo kwao

Msipo ingiza hoja za kidini, mwandishi amekuja na hoja nzuri hebu tutafute ukweli, nyetanyahu babaake anatokea Marekani. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani naye Anajitambulisha kama myahudi ,Irani ina watu wanaojitambulisha kama wayahudi, Saudi Arabia Misri Nako hivohivo hwa watu wakoje wanarangi ipi
 
Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu.

Jambo hilo limewezekana vipi, hata tukiangalia chimbuko la Wayaudi kwenye bibila kama wanavyodai wenyewe ni uzao wa Ebrahimu, je, Ebrahim alikuwa ni mzungu? Kwa kuangalia picha tu unaona kabisa Israel pale sio kwao.
usichojuwa kuwa wayaud wapo kila nchi pale middle na sio mwaka 1948 ila hata kabla ya hapo
 
Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu.

Jambo hilo limewezekana vipi, hata tukiangalia chimbuko la Wayaudi kwenye bibila kama wanavyodai wenyewe ni uzao wa Ebrahimu, je, Ebrahim alikuwa ni mzungu? Kwa kuangalia picha tu unaona kabisa Israel pale sio kwao.
Watakuja kukanusha Wayahudi wa Uyole.
 
Nyie endeleeni kuangalia kwa jicho hata la husda.
Sisi tunasikilizia tu israel abutue yanayomuhusu na tuone mwisho wake ataakua yepi haswa.
Endeleeni kuleta historia zenu tu jf.
Lazima utete washirika wako katika matumizi ya kilainishi
IMG_20231107_022905.jpg
 
Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu.

Jambo hilo limewezekana vipi, hata tukiangalia chimbuko la Wayaudi kwenye bibila kama wanavyodai wenyewe ni uzao wa Ebrahimu, je, Ebrahim alikuwa ni mzungu? Kwa kuangalia picha tu unaona kabisa Israel pale sio kwao.
Kwa hiz akili zako za matope unafikiri wayahud wote ni wazungu. Wako wayahud waarabu wapo waafrica wapo wahindi wapo wazungu wapo wairan nk nk.
 
Wanawaonea sana wapalestina aise imagine mtu aje hapa awaambie ondokeni hapa siyo kwenu .sasa muondoke mwende wapi?
 
Israel imeundwa na UK pamoja na USA ndani ya taifa la palestina mwaka 1948. Na baada ya hapo Israel inaendelea kijitanua kibabe kila aiku,. Mipaka gani unaoulizia wewe? Ya mwaka 1948? Au ya 1967 au ya sasahivi?

Hao mayahudi ya kizungu pale sio kwao sasa hayo maeneo yao ya kihistoria yapo ulaya

Sawa sio kwao nenda kawatoe basi. Wenzako wanachukua kipigo na Netanyahu ameshasema vita ikiisha itabidi waidhibiti Gaza isiwe chini ya vikundi vya kigaidi
 
Wanatoka style hii

pic.twitter.com/DP4FNQ3bzA
[emoji57][emoji298]️THERE ARE SO MANY ISRAELI IDF & AMERICAN SOLDERS KILLED THAT THEY HAVE IMPOTED REFREIGERATOR CONTAINERES AS THEY RAN OUT OF SPACE IN THEIR HOSPITALS AND MORGUES
The Israeli officer, while examining the bodies, choked from the stench and foul odor OF dead idf !!
Screenshot_20231106-195331.jpg
 
Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu.

Jambo hilo limewezekana vipi, hata tukiangalia chimbuko la Wayaudi kwenye bibila kama wanavyodai wenyewe ni uzao wa Ebrahimu, je, Ebrahim alikuwa ni mzungu? Kwa kuangalia picha tu unaona kabisa Israel pale sio kwao.

Ilikuaje Turkish/Uturuki wakaingia Bara la Ulaya?
 
Tupe na wewe historia unayoijua kuhusu Palestina! Tumia hata Quran kutuambia.
 
Ningependa tujadili kwa kutumia lugha ili tujue hawa ni wenyewe au lah!

Maana ilivyo hata sisi wabantu tumekuwa classified kwa sababu ya lugha.

Ndio maana kiswahili na kishona Cha Zimbabwe kina maneno mengi yanayo fanana.

Lugha zao ni Semetic
Kwenye hizi lugha zipo tatu
Nazo ni;

1)Kiyahudi

2)Kiarabu

3) Armaric ( Habesha kama wanavyoitwa wenyeji pale Ethiopia)

Nadhani kila mtu kashasikia msemo wa ant Semetic wakitumia wale Wazungu kuonyesha au kuashiria watu wenye misimamo ya kuwapinga Waisrael.

Swali la kujiuliza Waisrael wa asili ni kina nani?

Je, Ethiopian Jews
Je, Ashkenazi Jews
Je, SephardicJews
Je, Chadic jews
Je, Chinese Jews
Je, Indian Jews

Bila kujua hili huwezi kuwachambua wayaudi.
 
Back
Top Bottom