mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Wayaudi original sio wazungu. Hawa waliotuletea middle east mwaka 1948 ni fake na ndio maana kuna shida sanaWeka picha za kina yossi benayoun, kina netanyahu na wenzie tulinganishe na kina yasser arafat, kina benzema.
😄😃😁Nawasubiri wayahudi weusi waje kukushambulia
Hata hao siyo kwao wanatumika na zionist kuhalalaisha ukaaji wao hapo palestina. Hao mafalasha kwao Ethiopia.
Umeangalia wapi sasaNimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/aya za kwenye bible. Tujiulizw kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni waarabu, imekuwaje mzungu ajikute ktk ya waarabu.
Jambo hilo limewezekana vipi, hata tukiangalia chimbuko la Wayaudi kwenye bibila kama wanavyodai wenyewe ni uzao wa iEibrahimu, je, Ebrahim alikuwa ni mzungu? Kwa kuangalia picha tu unaona kabisa Israel pale sio kwao.
Morocco,Misri,Algeria na takataka zote hizi nazo zirud kwao middle east
Weka picha za kina yossi benayoun, kina netanyahu na wenzie tulinganishe na kina yasser arafat, kina benzema.Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)Utarudi wewe ulikotoka mkuu, na huna ujanja wowote wa kuamua jambo ilhali waislamu tupo hapa, wale ni ndugu zetu. Na kwa taarifa yako hii nchi ina waislamu wengi kuliko wapagani.
Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu.
Jambo hilo limewezekana vipi, hata tukiangalia chimbuko la Wayaudi kwenye bibila kama wanavyodai wenyewe ni uzao wa Ebrahimu, je, Ebrahim alikuwa ni mzungu? Kwa kuangalia picha tu unaona kabisa Israel pale sio kwao.
Israeli anatumia njia ile ile waarabu walitumia kukalia maeneo ya Afrika. Kwa hiyo watulie, shoo ipigwe ilivyo.Utarudi wewe ulikotoka mkuu, na huna ujanja wowote wa kuamua jambo ilhali waislamu tupo hapa, wale ni ndugu zetu. Na kwa taarifa yako hii nchi ina waislamu wengi kuliko wapagani.
Hoja ya msingi siyo hiyo, ila mipaka original ya Israeli ni upi? hapo anatimua watu waliovamia maeneo yake ya kihistoria.Ni sahihi kabisa.
Modern Israel was created in 1948 after a United Nations agreement with the British created the State of Israel. Ancient Israel and Modern Israel are considered different civilizations with their own unique features, though they do share religious and historical connections.
Utarudi wewe ulikotoka mkuu, na huna ujanja wowote wa kuamua jambo ilhali waislamu tupo hapa, wale ni ndugu zetu. Na kwa taarifa yako hii nchi ina waislamu wengi kuliko wapagani.
Israel imeundwa na UK pamoja na USA ndani ya taifa la palestina mwaka 1948. Na baada ya hapo Israel inaendelea kijitanua kibabe kila aiku,. Mipaka gani unaoulizia wewe? Ya mwaka 1948? Au ya 1967 au ya sasahivi?Hoja ya msingi siyo hiyo, ila mipaka original ya Israeli ni upi? hapo anatimua watu waliovamia maeneo yake ya kihistoria.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app