Kwa kuangalia tu na kutumia common sense, pale Middle East Israel siyo kwao



Mleta mada huyu Binti anaitwa Ahed Tamimi ni Mwanaharakati wa Kipalestina lakini ana muonekano wa kizungu.

Middle East ni sehemu yenye Gene pool kubwa sana, hasa Levanties
 
Ongezea nyama nyama, haya mambo yapo ila ni kwanini hayapewi air time?
 
Wote baba mmoja,hawezi kutoka mzungu,hawa ni wa-khazara,toka uturuki ya kale
 
Utarudi wewe ulikotoka mkuu, na huna ujanja wowote wa kuamua jambo ilhali waislamu tupo hapa, wale ni ndugu zetu. Na kwa taarifa yako hii nchi ina waislamu wengi kuliko wapagani.
1. Wewe mfipa wa Kirando una undugu gani na mwarabu...??

2. Umefanya sensa lini kugundua kwamba waislamu ni wengi katika nchi hii.

3. Mue mnaacha basi hizo bangi zenu mnazoita "dini" kwa sababu ni mbaya kuliko bangi iliyo zoeleka.
 
Utarudi wewe ulikotoka mkuu, na huna ujanja wowote wa kuamua jambo ilhali waislamu tupo hapa, wale ni ndugu zetu. Na kwa taarifa yako hii nchi ina waislamu wengi kuliko wapagani.
Mkuu jamaa ameongelea waarabu hajasema waislam
 

Vp waarabu wa Misri, Algeria, Tunisia na kwngineko Africa walijikutaje kwa bara la watu weusi?
 
Sio tu kwamba sio kwao Bali hai ni waisrael feki kabisa hakuna waisrael pale Zaidi ya wazungu tu hao!!

Waisrael feki wapo utumwani baada ya kumkataa yesu na Baadae wakapigwa na kutawnyika Baadae watarudi Baadae sana,sasa Hawa wnaopigana sasa hivi pale wmetokea wapi!!?

Stuka mkuu hakuna waisrael pale !!
 
Vp waarabu wa Misri, Algeria, Tunisia na kwngineko Africa walijikutaje kwa bara la watu weusi?
Hao uliowataja wapo upande wa juu yaani kaskazini mwa Africa. Hawapo katikati ya waafrika weusi, ukiangalia hata mazingira ya nchi walizopo hayana utafauti na mashariki ya kati, ninaweza kusema labda m/mungu ndivyo alivyotuweka maana hakuna historia yoyote inayosema walilivamia bara la Africa na kuwanyang'anya wenyeji ardhi
 
Mzungu ni "Caucasian"....... Wayahudi kiasili sio wazungu japo generation iliyopo ni machorara na wazungu.

Laiti kama Hitler asingeua Wayahudi ( Holocaust), US na UK kusingekuwa na msukumo wa kuanzisha taifa la Israel so huenda Israel kama nchi isingekuwepo na yamkini Germany ndo ingekuwa Super Power ya sasa kma US. Yale mauaji yaliipa uhalali jamii ya wayahudi kutafuta nyumbani kwao na mahali pa asili pa utaifa wao ili kuepuka kunyanyasika.

Kihistoria, eneo ilipo Israel kwa sasa lilikaliwa katika vipindi tofauti na Wayahudi, Wafilisti, Waamori, Wasamaria nakadhalika. Vita ya kugombania territory/ardhi imekuwepo tangu enzi za manabii na mitume.

Wayahudi wanayo-claim kihistoria katika hiyo ardhi, wapalestina vile vile wanayo claim. Issue ni namna ya kugawana na kuishi pamoja. Haikuwahi kuwezekana na haitakuja kuwezekana wakakaa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…