GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa tulichokifanya ' Kamati ya Roho Mbaya na Ufundi wa Kimila ' usiku wa Kuamkia leo ili Kulipiza Kisasi kwa Yanga SC tutakapocheza nao Kesho Jumapili tarehe 12 July, 2020 kama Yanga SC akishinda ( akitufunga ) tena basi GENTAMYCINE najitolea kuwa namwagilia Bustani zote za Manispaa ya Mji wa Dar es Salaam kila Siku kwa muda wa Mwaka mzima.
Ewe Mwenyezi Mungu najua kuwa tulichokifanya leo ni ' Kufuru ' kubwa Kwako ila tusamehe tu Baba kwani Mkuki Mmoja ule wa BM ulituuma mno.
Ewe Mwenyezi Mungu najua kuwa tulichokifanya leo ni ' Kufuru ' kubwa Kwako ila tusamehe tu Baba kwani Mkuki Mmoja ule wa BM ulituuma mno.