Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa mtu anayejua mpira unajua Yanga hawana wachezaji wenye qualities kama Simba lakini benchi lao la ufundi wapo sharp kuliko Simba.Duh...watu mpo vizuri.
Heshima kwako mkuu
Kabisaa Mkuu. Japo wanakimbiaga hawa.
Wana utopolo wanatupiana lawama ila ukweli ubora wa wachezaji wao kulinganisha na Simba upo chiniMkuu kwa mtu anayejua mpira unajua Yanga hawana wachezaji wenye qualities kama Simba lakini benchi lao la ufundi wapo sharp kuliko Simba.
Leo benchi la ufundi Simba wamejirekebisha mno! Nilijua kama benchi la ufundi Simba likitulia zipo goli si chini ya 4....
Zimekuja kweliSimba anashinda goli 4.