Kwa ' Kufuru ' tuliyoifanya Usiku wa Kuamkia leo kama Kesho Yanga SC akishinda Taifa nitamwagilia Bustani za Dar Mwaka mzima

Na ujanja na uzuri wako wote bado tu hujaanza kuishabikia Young African SC?

Aahahahahaha baba yeyoooo,mi nashangaa wewe nakwama waapiii, hapana tumia ile kikunio yako hadi mimi nishabikie Yanga kikwetukwetu aahahahahahaa.
 
Pamoja na kwamba wewe ni Popoma wa taifa Ila kwa hili la kuishabikia Simba nakuunga mkono na tuko pamoja.
 
Aahahahahaha baba yeyoooo,mi nashangaa wewe bandanna waapiii, hapana tumia ile kikunio yako hadi mimi nishabikie Yanga kikwetukwetu aahahahahahaa.
Wewe Mama yeyoo inachekesha sana si haitaki kuja huku Engaruka?
 
Dar hakuna bustani sema utaanza kujiuza meeda pub
 
Hahahaaa. Kama nawaona wakisoma hii post mioyo inavyowadunda.

Na safari huyo ropo ropo kawa mtulivu.
Mi mwenyewe nimeshangaa kakutwa na nini? Sio kawaida yake muda km huu huwa anatamba yeye tu!
 
Unaandika sana upuuzi hivi huna hata mda wa kufikiri kidogo maana dishi limeyumba sana

Mbona hata Wewe ' unatiwa ' sana tena mfululizo na ' Madanga ' tofauti tofauti na hata huionei Huruma ' Mbunye ' yako lakini Sisi hatukulalamikii?
 
Acha utahira hayo mengine ni blabla
Mbona hata Wewe ' unatiwa ' sana tena mfululizo na ' Madanga ' tofauti tofauti na hata huionei Huruma ' Mbunye ' yako lakini Sisi hatukulalamikii?
 
Acha utahira

Hakuna Kiswahili cha ' Utahira ' kama ulichokiandika hapa Mpopoma ( Mpumbavu ) Wewe, bali tuna Kiswahili Sanifu cha ' Utaahira ' Juha Wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…