Kwa ' Kufuru ' tuliyoifanya Usiku wa Kuamkia leo kama Kesho Yanga SC akishinda Taifa nitamwagilia Bustani za Dar Mwaka mzima

Duh...watu mpo vizuri.
Heshima kwako mkuu
Mkuu kwa mtu anayejua mpira unajua Yanga hawana wachezaji wenye qualities kama Simba lakini benchi lao la ufundi wapo sharp kuliko Simba.

Leo benchi la ufundi Simba wamejirekebisha mno! Nilijua kama benchi la ufundi Simba likitulia zipo goli si chini ya 4....
 
Wana utopolo wanatupiana lawama ila ukweli ubora wa wachezaji wao kulinganisha na Simba upo chini
 
Bm33 nasikia ameambiwa hata pokea mshahara wa mwez huu ,

Note
Utopolo ni utopolo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…