Kwa kumbukumbu tu kuna wakati Bashe wa CCM na Sugu Chadema waliweza kuongea lugha moja bungeni lakini hawakusikilizwa!

Kwa kumbukumbu tu kuna wakati Bashe wa CCM na Sugu Chadema waliweza kuongea lugha moja bungeni lakini hawakusikilizwa!

Sasa hivi ananyonya Asali tu, utasema sio yeye huyu Bashe.
 
Leo Bashe ni Waziri ndani ya serikali ile ile alioituhumu na yuko kimya!
Sugu anaendelea kuwa adui mkubwa wa serikali hiyo aliyoituhumu!
 
Kumbe utekaji wa sasa bado haujafika kwenye kilele chake, kwasbb mpk sasa hakuna hata mbunge ama waziri mmoja aliyetekwa.
Mara zote aliyezima mjadala bungeni bado ni yule yule...mara ya kwanza akiwa naibu spika na mara ya pili akiwa spika si wa bunge letu tu bali wa bunge la dunia.

Naomba msikilize hoja zake wakati huo na hoja zake hii leo!
 
Huyo yupo kimkakati ...
 
Huyo yupo kimkakati ...
Kwa kweli huyo spika yuko kimkakati. Mara ya kwanza alidai nafasi itolewe kwa wachunguzi kutimiza wajibu wao. Toka wakati huo hadi sasa miaka saba baadaye pamoja na utekai, utesaji na mauaji kuendelea kushika kasi bado madai yake ni yale yale...inafikirisha sana!
 
Back
Top Bottom