Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Watanzania tu watu wa ajabu sana...
View: https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI
Sina cha kuongezea!
View: https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI
Sina cha kuongezea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara zote aliyezima mjadala bungeni bado ni yule yule...mara ya kwanza akiwa naibu spika na mara ya pili akiwa spika si wa bunge letu tu bali wa bunge la dunia.Kumbe utekaji wa sasa bado haujafika kwenye kilele chake, kwasbb mpk sasa hakuna hata mbunge ama waziri mmoja aliyetekwa.
Muda umefikia sasa watekaji ni vema wamteke spika TuliaMara zote aliyezima mjadala bungeni bado ni yule yule...mara ya kwanza akiwa naibu spika na mara ya pili akiwa spika si wa bunge letu tu bali wa bunge la dunia.
Mnao uzoefu? 🐼Kama haya mambo hayaishi basi na sisi CHADEMA tuje na Strategy ya "Teka nikuteke"
Haihitaji uzoefu ni kununua Land Cruiser na kukodi mapolisi waliofukuzwa na wale waliostaafishwa.Mnao uzoefu? 🐼
Watanzania tu watu wa ajabu sana...
View: https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI
Sina cha kuongezea!
Huyo yupo kimkakati ...Mara zote aliyezima mjadala bungeni bado ni yule yule...mara ya kwanza akiwa naibu spika na mara ya pili akiwa spika si wa bunge letu tu bali wa bunge la dunia.
Naomba msikilize hoja zake wakati huo na hoja zake hii leo!
Naona hujui hata kinachoongelewa hapa. Huu ni ukumbusho tu wa yaliyotokea mwaka 2017 na hadi sasa bado yanaendelea kutokea.
Duh...!,Naona hujui hata kinachoongelewa hapa.
Kwa kweli huyo spika yuko kimkakati. Mara ya kwanza alidai nafasi itolewe kwa wachunguzi kutimiza wajibu wao. Toka wakati huo hadi sasa miaka saba baadaye pamoja na utekai, utesaji na mauaji kuendelea kushika kasi bado madai yake ni yale yale...inafikirisha sana!Huyo yupo kimkakati ...
Kwanini unawapangia cha kusema, kama wakanushe au wakiri,