mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kusalimisha Diplomatic Passport yake haraka iwezekanavyo.
Yeye sio signatory tena wa Chama pesa zinazoingia na kutoka hana access nazo tena.
Popote pale duniani au mbinguni wakiitwa viongozi wa upinzani kuonana na mkuu yeyote hawezi kuhudhuria.
Jina lake halitaimbwa tena kwenye media.
Sehemu za umma atakuwa kama raia wengine tu.
Kuramba asali na ruzuku kumeisha rasmi.
FaIda zake:
Huenda ukawa mwisho wa yeye kulala sero,gerezani .
Atapata muda wa kucheza na wajukuu na familia kwa ujumla
Biashara zake zitaimarika zaidi