wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Benki kuu mshahara na posho zinaweza kuwa milioni 6 kwa mwezi sawa na Milioni 48 kwa mwaka, kiasi hicho cha pesa ni kidogo sana kwa watoto wa mabilionea wanaoweza kupata mitaji ya kuanzisha biashara zao.Uongo .........walichoma bank miaka ile ............ili kuficha kashfa ya pesa walizoiba........unaweza kukataa kazi bank wewe labda kama ya kufagia
Umaskini na njaa umefanya watanzania wengi waone kupata kazi benki umemaliza kila kitu kwenye maisha