Kwa kushindwa kwake, Freeman Mbowe anakosa fursa zifuatazo

Kwa kushindwa kwake, Freeman Mbowe anakosa fursa zifuatazo

Mbowe anarudi zake kwenye raha za utajiri alizopoteza kwasababu ya siasa

Mzee ana pesa nyingi mno, Baba yake enzi hizo alikuwa kwenye top 10 ya matajiri hapa TZ.

alikataa kazi Benki kuu akiwa na miaka 20 kwa sababu mshahara ulikuwa mdogo sana kwake.
Nitajie biashara za mbowe angalau nne ambazo ni genuine business hapa bongo
 
Tindo, uchaguzi ndivyo ulivyo..matokeo yanaweza badilika hata ndani ya dk 5 tu, looser akawa winner na winner akawa looser..hata huvyo hayo tuliyokuwa tunasema dhidi ya Lissu ni vyema akafanyia kazi..aache jazba, awe wa mwisho kuonyesha anajua jambo fulani na asitazame kila jambo kwa jicho la sheria tu..lkn zaidi arudishe familia yake hapa Tanzania, mambo ya safari za ubelgiji kila mara ndio basi yafikie mwisho!
Nimecheka sana, eti Lisu alikuwa hajajiandaa na uchaguzi hivyo angeshindwa. Anywaya yaliyopita. Hata mimi namshauri sana Lisu afanyie kazi mapungufu yake kwani yametamkwa waziwazi. Ni muda sahihi wa yeye kuyafanyia kazi.

Kuhusu suala la familia yake, mimi kama mimi simshauri sana kurudisha familia yake hapa, awaache wapate elimu bora huko nje, na exposure. Cha muhimu ni yeye kupunguza safari za mara kwa mara huko nje, hasa zisizo za lazima ili kuendana na nafasi yake mpya chamani.
 
Hadi muda huu Lissu anamuhitaji Mbowe zaidi kuliko Mbowe anavyomuhitaji Lissu.
 
Back
Top Bottom