Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana mvuto tena kwenye jamii, huu uchaguzi umemshushia hadhi sana. Angejiondoa mapema angebakiwa na heshima yakeYule anaenda kushindana na Samia kwenye uraisi you will see
Boni kyepe kujaza hili tumbo sio mchezoLike mingi kwa wakala wetu bon yai
View attachment 3210388
Kweli.Hana mvuto tena kwenye jamii, huu uchaguzi umemshushia hadhi sana. Angejiondoa mapema angebakiwa na heshima yake
kazi benki kuuMbowe anarudi zake kwenye raha za utajiri alizopoteza kwasababu ya siasa
Mzee ana pesa nyingi mno, Baba yake enzi hizo alikuwa kwenye top 10 ya matajiri hapa TZ.
alikataa kazi Benki kuu akiwa na miaka 20 kwa sababu mshahara ulikuwa mdogo sana kwake.
Nimependa hapo penye popote Duniani au Mbinguni....😁😁😁Kusalimisha Diplomatic Passport yake haraka iwezekanavyo.
Yeye sio signatory tena wa Chama pesa zinazoingia na kutoka hana access nazo tena.
Popote pale duniani au mbinguni wakiitwa viongozi wa upinzani kuonana na mkuu yeyote hawezi kuhudhuria.
Jina lake halitaimbwa tena kwenye media.
Sehemu za umma atakuwa kama raia wengine tu.
Kuramba asali na ruzuku kumeisha rasmi.
FaIda zake:
Huenda ukawa mwisho wa yeye kulala sero,gerezani .
Atapata muda wa kucheza na wajukuu na familia kwa ujumla
Biashara zake zitaimarika zaidi
Atarudia kuchukua machangu wa UDSM kama zamani bila kujifichaKusalimisha Diplomatic Passport yake haraka iwezekanavyo.
Yeye sio signatory tena wa Chama pesa zinazoingia na kutoka hana access nazo tena.
Popote pale duniani au mbinguni wakiitwa viongozi wa upinzani kuonana na mkuu yeyote hawezi kuhudhuria.
Jina lake halitaimbwa tena kwenye media.
Sehemu za umma atakuwa kama raia wengine tu.
Kuramba asali na ruzuku kumeisha rasmi.
FaIda zake:
Huenda ukawa mwisho wa yeye kulala sero,gerezani .
Atapata muda wa kucheza na wajukuu na familia kwa ujumla
Biashara zake zitaimarika zaidi
Huwa inashangaza wanavyomsifia.Hizo ni past tenses ndugu. Familia yao ni matajiri na wasomi ila sio kama wengi wenu mnavyowapamba. Ninachopenda kuhusu familia ya Mbowe ni kuwa wameamua kuishi kitajiri kwa walicho nacho. No fake life. Mwanaukoo wa Mbowe kula breakfast Southern Sun Hotel ni sawa na mwanaukoo wa Mzee Mbonde kule Kigogo kupata breakfast ya Mihogo na chai rangi. Mbowe wote ni mabepari.
Hilo tumbo sasa!!!Like mingi kwa wakala wetu bon yai
View attachment 3210388
Hilo eneo la kutegemea wafadhili wa nje ni gumu sana. Pesa haziingii hovyo nchini labda kwa njia iwe kwa njia za panya. Ukitaka kuona ugumu wa hizo pesa jaribu mtu kutoka nje akutumie 200M tu kwenye akaunti uone mtiti wake wa kuzitoa Bank.Hiyo ndio weakness yake,chama kinatakiwa kijiendeshe kupitia michango,ruzuku na wafadhili wa ndani na nje
Basi katika pindi ambayo anaweza rambishwa asali na kudhuru chama kuliko wakati mwingine wowote ni sasa. Na hili CDM ikilichukulia kirahisi kuna madhara mbele.Yeah hela haitoshi lazima itafutwe ,mimi nazungumzia hela hizo za kulambishwa asali za kina abdul ,utamuhonga tsh ngapi? He doesn't have a price tags.
Mwiisho wa kulala gerezani how?Kusalimisha Diplomatic Passport yake haraka iwezekanavyo.
Yeye sio signatory tena wa Chama pesa zinazoingia na kutoka hana access nazo tena.
Popote pale duniani au mbinguni wakiitwa viongozi wa upinzani kuonana na mkuu yeyote hawezi kuhudhuria.
Jina lake halitaimbwa tena kwenye media.
Sehemu za umma atakuwa kama raia wengine tu.
Kuramba asali na ruzuku kumeisha rasmi.
FaIda zake:
Huenda ukawa mwisho wa yeye kulala sero,gerezani .
Atapata muda wa kucheza na wajukuu na familia kwa ujumla
Biashara zake zitaimarika zaidi
Akiketi na wazee na kupata ule mzinga wake 😂Nadhani sasa tutamuona sana huku Kilimanjaro.