Kwa kushindwa kwake, Freeman Mbowe anakosa fursa zifuatazo

Kwa kushindwa kwake, Freeman Mbowe anakosa fursa zifuatazo

Yeye ndiye aliyekuwa anafadhili CDM kwa fedha zake binafsi, hata huo mkutano uliomalizika ni fedha za Mbowe kuanzia ukumbe hadi chakula wewe unafikiri anashida na fedha za CHAMA au CHAMA kina shida na fedha za Mbowe?
Sasa hapa kumaanisha nini........??? Mbowe ni mkubwa kuliko chadema ??au pesa za mbowe kubwa kuliko za chadema?? Basi kama jibu mbowe ndio mkubwa kuliko taasisi ya chadema na anapesa nyingi kuliko taasisi ya chadema .............ni bora ccm na mama abdul wabaki madarakani kwa 10+ kuliko hayo makoro makoro mengine
 
Kusalimisha Diplomatic Passport yake haraka iwezekanavyo.

Yeye sio signatory tena wa Chama pesa zinazoingia na kutoka hana access nazo tena.

Popote pale duniani au mbinguni wakiitwa viongozi wa upinzani kuonana na mkuu yeyote hawezi kuhudhuria.

Jina lake halitaimbwa tena kwenye media.

Sehemu za umma atakuwa kama raia wengine tu.

Kuramba asali na ruzuku kumeisha rasmi.

FaIda zake:
Huenda ukawa mwisho wa yeye kulala sero,gerezani .
Atapata muda wa kucheza na wajukuu na familia kwa ujumla
Biashara zake zitaimarika zaidi
Punguza kamdomo ,ni mda wakuanza jenga chama , madude mengine ni upuuzi ,kwani Mbowe ameanza safiri leo ? Mkileta ka mdomo sana naenda upande wa Mbowe, mie mpenda haki .

Uchaguzi umeisha tujenge chama sasa wale wa kamdomo wanakula drip.


Note
Mh mwenyekiti na M/mwenyekiti mh Heche, siwezi kuwa chawa wenu hapa jf , mkileta mchezo na chama ichi nawachapa spana size 67 tumikieni wananchi na wanachama , 2025 ipo wazi sana ,asema Bwana

Hongereni sana wakuu
 
Tindo, uchaguzi ndivyo ulivyo..matokeo yanaweza badilika hata ndani ya dk 5 tu, looser akawa winner na winner akawa looser..hata huvyo hayo tuliyokuwa tunasema dhidi ya Lissu ni vyema akafanyia kazi..aache jazba, awe wa mwisho kuonyesha anajua jambo fulani na asitazame kila jambo kwa jicho la sheria tu..lkn zaidi arudishe familia yake hapa Tanzania, mambo ya safari za ubelgiji kila mara ndio basi yafikie mwisho!
 
Nani alikwambia fedha huwa inatosha!

Fedha huwa inatosha mkuu Ila ambacho huwa hakitoshi ni tamaa.


Ukiwa na tamaa hata ungepewa nini bado usingetosheka.

Huwa unawafatilia wale wazungu ambao huwa wanakuja kujitolea Africa ?.
 
Kina Mbowe pesa wanazo wapo class ya matajiri lakini hata matajiri hutofautiana, Mbowe amewahi kumiliki Club Billicanas, Hakujawahi kutokea club hapa Tanzania iliyofikia level za Billicanas mpaka leo, hii ni moja tu ya biashara zake
Hakujawai kutokea club iliyofika Billicanas mpaka leo hii uko serious kweli au bangi
 
FAM ni mtu gifted sana, huyu dogo kazaliwa na kile tunaita "Silver Spoon" kama Uhunye Kenyatta.
Mbowe anaposema anarudi kwenye biashara usidhani anarudi kwenye biashara ya nyanya.
 
Back
Top Bottom