Kwa kushindwa kwake, Freeman Mbowe anakosa fursa zifuatazo

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kusalimisha Diplomatic Passport yake haraka iwezekanavyo.

Yeye sio signatory tena wa Chama pesa zinazoingia na kutoka hana access nazo tena.

Popote pale duniani au mbinguni wakiitwa viongozi wa upinzani kuonana na mkuu yeyote hawezi kuhudhuria.

Jina lake halitaimbwa tena kwenye media.

Sehemu za umma atakuwa kama raia wengine tu.

Kuramba asali na ruzuku kumeisha rasmi.

FaIda zake:
Huenda ukawa mwisho wa yeye kulala sero,gerezani .
Atapata muda wa kucheza na wajukuu na familia kwa ujumla
Biashara zake zitaimarika zaidi
 
Biashara zipi hizo? Unaweza kuzitaja?
 
Biashara yake yakuvuta kwa Chama dola itazorota sana au kufa kabisa
 
Hizo ni past tenses ndugu. Familia yao ni matajiri na wasomi ila sio kama wengi wenu mnavyowapamba. Ninachopenda kuhusu familia ya Mbowe ni kuwa wameamua kuishi kitajiri kwa walicho nacho. No fake life. Mwanaukoo wa Mbowe kula breakfast Southern Sun Hotel ni sawa na mwanaukoo wa Mzee Mbonde kule Kigogo kupata breakfast ya Mihogo na chai rangi. Mbowe wote ni mabepari.
 
Kina Mbowe pesa wanazo wapo class ya matajiri lakini hata matajiri hutofautiana, Mbowe amewahi kumiliki Club Billicanas, Hakujawahi kutokea club hapa Tanzania iliyofikia level za Billicanas mpaka leo, hii ni moja tu ya biashara zake
 
Maisha ndivyo yalivyo... Chenye mwanzo kina mwisho!
uzuri ameridhia kwa kauli moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…