Kwa kushindwa kwake, Freeman Mbowe anakosa fursa zifuatazo

Nitajie biashara za mbowe angalau nne ambazo ni genuine business hapa bongo
 
Nimecheka sana, eti Lisu alikuwa hajajiandaa na uchaguzi hivyo angeshindwa. Anywaya yaliyopita. Hata mimi namshauri sana Lisu afanyie kazi mapungufu yake kwani yametamkwa waziwazi. Ni muda sahihi wa yeye kuyafanyia kazi.

Kuhusu suala la familia yake, mimi kama mimi simshauri sana kurudisha familia yake hapa, awaache wapate elimu bora huko nje, na exposure. Cha muhimu ni yeye kupunguza safari za mara kwa mara huko nje, hasa zisizo za lazima ili kuendana na nafasi yake mpya chamani.
 
Hadi muda huu Lissu anamuhitaji Mbowe zaidi kuliko Mbowe anavyomuhitaji Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…