Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ila hujanuweka kwenye ignore list yako.Mimi mbona 'nilishakudharau' Kitambo?
We kweli akili zako hazina akili.Tanzania inafaidika kwa Akili kubwa za Wanyarwanda na bila shaka mtafaidika mno na kuondokana na 'Uswahili Uswahili' wenu unaowachelewesha Kimaendeleo mpaka Rwanda inawazidi tu sasa.
Hivi Tz tutajifunza nn kwa dikteta!?Kagame hawezi kushirikiana na mataputapu!
Huna IQ ya kuijua Rwanda Kiuwezo Wala Kubishana au Kujenga Hoja nami kwa hili na hapa JamiiForums hivyo acha Kujipendekeza Kwangu kutaka Umaarufu kupitia Mimi na Kunipotezea muda wangu sawa? Hopeless ( Mpuuzi ) mkubwa Wewe.We kweli akili zako hazina akili.
RWANDA INA KIPI HASA CHA KUIZIDI TANZANIA?
WANA AKILI GANI HASA ZA KUWAZIDI WATZ?
EMBU FUATILIA SOCIAL DEVELOPMENT YA RWANDA NA TZ.
ECONOMIC DEVELOPMENT YA RWANDA NA TZ PAMOJA NA SOCIAL SERVICES ZA RWANDA NA TZ.
KIKUBWA ZAIDI KOMA KUDOGOSHA JESHI LA TZ KWA KUWAPANDISHA HAO SKELETON RWANDA.
Wewe unazidi kuishiwa hoja.IGP Sirro umeona mbali sana na GENTAMYCINE nakupongeza kwa Kuomba 'Ushirikiano' wa Kiuzoefu na Kiuweledi kutoka kwa Jeshi bora la Polisi Afrika la Rwanda nchi iliyobarikiwa kama ilivyobarikiwa nchi ya Israeli.
Kwakuwa IGP Sirro wa TP ameanza nawaomba na akina Msuya wa SSIT na Mabeyo wa ZTWJ nao wasione 'aibu' kuomba kupata 'Ushirikiano' wa 'Kiujuzi' na Taasisi kama zao zilizoko nchini Rwanda (Israeli ya Afrika)
Na hata Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan jitahidi sana uwe karibu 'Kiushirikiano' na Rais wa Rwanda 'Shujaa wa Uchumi, Teknolojia na Maendeleo' Mheshimiwa Paul Kagame.
Na Watanzania wote ipendeni Rwanda.
Doh bahati mbaya sibishani na MAFALA.Huna IQ ya kuijua Rwanda Kiuwezo Wala Kubishana au Kujenga Hoja nami kwa hili na hapa JamiiForums hivyo acha Kujipendekeza Kwangu kutaka Umaarufu kupitia Mimi na Kunipotezea muda wangu sawa? Hopeless ( Mpuuzi ) mkubwa Wewe.
Wewe Simbilizi hebu nitokee hapa Oky?Doh bahati mbaya sibishani na MAFALA.
BISHANA NA MAFALA WENZAKO.
Duhmnyarwanda hajawahi kua binadamu na hatakuja kua binadamu kamwe nathibitisha hli kwa ujinga wao na waliofanyiana pale kwao rwanda mwaka 1994, huwezi kumuua kaka yako kisa kaoa mhutu, tena nyie mbwa wa tutsi ndo umbwa kabisa, ww mleta mada kumbe ni shoga kabisa huyo bwanako kagame amesababisha wakongo wanauana kila cku kisa kutamani mali za wakongo., dawa yenu ni jakawa wakimbizi wakubwa nyie jinga kabisa ww
POPOMA ushaanza kusifia vya kwenu, kweli mkataa kwao ni mtumwaIGP Sirro umeona mbali sana na GENTAMYCINE nakupongeza kwa Kuomba 'Ushirikiano' wa Kiuzoefu na Kiuweledi kutoka kwa Jeshi bora la Polisi Afrika la Rwanda nchi iliyobarikiwa kama ilivyobarikiwa nchi ya Israeli.
Kwakuwa IGP Sirro wa TP ameanza nawaomba na akina Msuya wa SSIT na Mabeyo wa ZTWJ nao wasione 'aibu' kuomba kupata 'Ushirikiano' wa 'Kiujuzi' na Taasisi kama zao zilizoko nchini Rwanda (Israeli ya Afrika)
Na hata Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan jitahidi sana uwe karibu 'Kiushirikiano' na Rais wa Rwanda 'Shujaa wa Uchumi, Teknolojia na Maendeleo' Mheshimiwa Paul Kagame.
Na Watanzania wote ipendeni Rwanda.
Hakikisha tu unakumbuka kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili unaokusumbua kwa muda mrefu ili usiendelee kuwa Mwendawazimu hivi sawa?mnyarwanda hajawahi kua binadamu na hatakuja kua binadamu kamwe nathibitisha hli kwa ujinga wao na waliofanyiana pale kwao rwanda mwaka 1994, huwezi kumuua kaka yako kisa kaoa mhutu, tena nyie mbwa wa tutsi ndo umbwa kabisa, ww mleta mada kumbe ni shoga kabisa huyo bwanako kagame amesababisha wakongo wanauana kila cku kisa kutamani mali za wakongo., dawa yenu ni jakawa wakimbizi wakubwa nyie jinga kabisa ww
Ndiyo mkiambiwa ni Madunduna na Mapopoma msiwe mnakataa au mnanibishia tafadhali sawa?Du! 1994 nchi ilikua kwenye vita leo tunaenda kuomba usaidizi vichwa vyetu vimelala wap vile!
Kajibu hoja na maswali kuntu tunayokuuliza acha kujibu paragraph za watoto wasiojitambua wala kuijua historia ya Rwanda [emoji1206]Ndiyo mkiambiwa ni Madunduna na Mapopoma msiwe mnakataa au mnanibishia tafadhali sawa?
Hivi ndivyo Jf inatakiwa iwe yaani hoja kwa hoja .Kajibu hoja na maswali kuntu tunayokuuliza acha kujibu paragraph za watoto wasiojitambua wala kuijua historia ya Rwanda [emoji1206]
Katuambie kwa nini unamsifia Paul Kagame aliyeanzia mauaji tangu kambini kwenye RPF akiwauwa kina Freddy Rwigema.
Hivi tunavyoongea Pastor Bizimungu yuko kizuizini nyumbani huku akiwa kapofushwa macho.
Amemteka mpinzani wake almaarufu Hotel Rwanda,na kumleta Rwanda kutoka Dubai kinyemela na kumfungulia mashtaka ya uhaini.
Mama Ingabhire yeye aliamua tu kuanzisha chama cha upinzani lakini yuko jela mpaka saa hii.
Wanamuziki wakiimba kinyume na matakwa ya Kagame wanaishia kuuwawa,au kuswekwa jela.
Hakuna ulinganifu kati ya Rwanda [emoji1206] na Tanzania [emoji1241] kijiografia.
Kale ni kama mkoa mmoja wa Tanzania bara.
Anapora maliasili za Congo [emoji1078], usiku na mchana.
Askari wote wa Monusco akaunti zao ziko Rwanda [emoji1206].
Hata mabilionea wa Congo [emoji1078] akaunti zao ziko Kigali.
Baada ya Genocide mataifa ya ulaya EU [emoji1099],yanayoongea kiingereza na America [emoji631]., walimminia misaada lukuki ili kumpiku mfaransa na hatimae sasa wanamtumia kupora madini adimu ya Cobalt na dhahabu pamoja na Cotan.
Narudia tena GENTAMYCINE...unapotea kwenye reli taratibu.
Mimi huwa nafurahia topic zako ila sio kwa hii ya kumsifia Kagame.