Kwa kuwa CHADEMA wamesusia ruzuku, hizo pesa zielekezwe kwenye elimu

Chadema wamesema hawana shida na ruzuku.
Maamuzi ya chama yanatokana na vikao, serikali wajibu wake kutekeleza sheria, naomba upuuze matamko yote yasio na tija ambayo hayatokani na vikao, iwapo chadema hawajapokea ruzuku hadi sasa basi ufahamu kametegenezwa kautaratibu kanakopelekea kuwafedhehesha ili wapate ruzuku, na kama hilo lipo matamko kama hayo yanatolewa!
 
Itapendeza
 
Jikite kwenye mada husika.
Unalilia ruzuku ndogo hivyo si afadhali hata ungeshauri hela ya vitambulisho vya wamachinga ndo ielekezwe huko elimu.

Maana matumizi ya hiyo hela hayajabainishwa yanaenda wapi juu hayapitii TRA.
 
Unalilia ruzuku ndogo hivyo si afadhali hata ungeshauri hela ya vitambulisho vya wamachinga ndo ielekezwe huko elimu.

Maana matumizi ya hiyo hela hayajabainishwa yanaenda wapi juu hayapitii TRA.
Kwani pesa ya vitambulisho vya chinga inaenda wapi?
 
Utajikomba hadi akili iote sugu kudadeeki lkn kamwe hatuwezi kukuteua
 
Kazi yenu ni kupora pora tu na kuna siku mtapora visivyo poreka
 
Ipi? Uchaguzi ulikuwa huru na haki.
Uhuru. Wakati vyombo vyote vya habari vilikatazwa kutoonesha mikutano ya lisu. Tbc ilikuwa ccm peecee haikiruhusu hata Mara moja kurusha mkutano wa lisu angalau hata kuzuga.
 
Ungekuwa unajua umuhimu wa matumizi ya fedha za umma kwanza ungeanza kuhoji pesa zinazokimbizwa chato ambazo hazipitishwi hata na bunge
Yaani hospital ya rufaa ijengwe bila ridhaa ya bunge?
 
Ngoja basi tuzil, nyie cdm subirini mungu atawalipia...πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…