Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Ule uchaguzi feki nao ulikua uchaguzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuwa muelewa. Ruzuku ni halali yenu,lakini mmekataa sababu mnada mliibiwa uchaguzi.Kama halali kwa Ccm, basi huna haja ya kuiuliza ya Cdm ni halali yao pia.
Cdm haihitaji kupokea ruzuku kama hisani. Ni jukumu la msajili kuwaingizia ruzuku yao. Waliifanyia kazi Idugunde
Kwanini na nusu ya ruzuku ya CCM isikatwe na kupelekwa shuleni?Wadau wa JF na Wazalendo.
Hivi karibuni zimeibuka habari zinazochanganya sana. Maana gazeti la mwananchi lilichapisha habari likionyesha kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku mil 104 hii ni sababu wana wabunge 20 bungeni.
Mara ghafla tukapata taarifa kuwa hawapokei ruzuku na wala hawana mpango nayo.
Sasa kama zilitengwa mil 104 kwa ajili ya CHADEMA ili wawe wanajilipa na wao hawazitaki kisa tu wanadai walionewa Oktoba 28 mwaka 2020. Kwa nini zisihamishiwe kwenye sekta ya elimu?
Juzi hapa Naibu Waziri wa Tamisemi ameonekana kwa aibu huko Mtwara watoto wakimlilia wakitaka madawati na madarasa. Hizi pesa zikipelekwa huko zitasaidia watoto wetu.
Hawana issue wamebaki kubambika watu kesi na kuwafungaKama serikali imekosa pesa ingetenga mil 104 kwa ajili ya Chadema?
Utawala katili huu hauna hata aibu wanawaza namna ya kupata pesa kwa njia haramu badala ya kuwa na mipango endelevu.Hakuna Cha kuchanganya hapa, msimamo wa CHADEMA tz upo wazi tangu mwanzo kuhusu ruzuku yenu, nyie ndo mlikua mnachochea, chadema imesimama zaidi na wananchi iyo ruzuku yenu hawataki nawambieni Sasa msikiena niabu KWA mawazo YAKO kwamba serikali inakosa PESA za kupeleka kwenye elim mpaka kuvizia chadema kukataa ruzuku, hivi mna akili gani hii
Majangili walioweza kupora na kupoteza maisha ya wanaharakati, watashindwa vipi kupora hata hizo RUZUKU ambazo zipo katika wizara zenye viongozi waliopata uongozi kwa kupora wengine.Kwa serikali hii, yaweza pora ruzuku ya CHADEMA, itakuwa ni mwendelezo wao ktk kukidhoofisha, walianza kwenye uchaguzi s/mitaa, uchaguzi mkuu, viti maalumu, sitashangaa wakichukua ruzuku, hawana aibu, hakuna cha kufanya!
Laana ya pesa za uonevu ndo ipelekwe kwa watoto wetu!?Wadau wa JF na Wazalendo.
Hivi karibuni zimeibuka habari zinazochanganya sana. Maana gazeti la mwananchi lilichapisha habari likionyesha kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku mil 104 hii ni sababu wana wabunge 20 bungeni.
Mara ghafla tukapata taarifa kuwa hawapokei ruzuku na wala hawana mpango nayo.
Sasa kama zilitengwa mil 104 kwa ajili ya CHADEMA ili wawe wanajilipa na wao hawazitaki kisa tu wanadai walionewa Oktoba 28 mwaka 2020. Kwa nini zisihamishiwe kwenye sekta ya elimu?
Juzi hapa Naibu Waziri wa Tamisemi ameonekana kwa aibu huko Mtwara watoto wakimlilia wakitaka madawati na madarasa. Hizi pesa zikipelekwa huko zitasaidia watoto wetu.
Unauliza au unajiuliza?[emoji16]Yaani hospital ya rufaa ijengwe bila ridhaa ya bunge?
Kalime mihogo na kuvuta kokoro maana ndiyo kazi unayoweza,huku kwenye mambo yanayo hitaji kutumia akili tuwachie sisi wanaume wa shoka
Si kazi yako kujua umri wangu, zingatia ushauri kwa sababu ya HEKIMA iliyomo ndani yake.Hivi kwanza wewe unayetoa ushauri huu una umri gani??????????? sidhani kama unachoongea kina mantiki tupe facts!!!!!!!!!!!!
Utamsikiaje na mmekataza siasa za upinzaniHi Mbowe yupo kweli?? simsikii kABISAAAAAAAAAAAAAAAAA..............................
Kwani uwizi wa kura siyo mambo muhimu ?!Mkuu kuwa muelewa. Ruzuku ni halali yenu,lakini mmekataa sababu mnada mliibiwa uchaguzi.
Mmekataa ruzuku acheni itumike kwa mambo ya msingi
Ulisikia maoni ya jiwe mkuu?Au jiwe humjui?Ipi? Uchaguzi ulikuwa huru na haki.
Wew kweli ni Taga au hamnazo, I wonder why your... did not use....Yaani hospital ya rufaa ijengwe bila ridhaa ya bunge?
Huwezi kuelewa. Tanzania ilikuwa nchi ya kuheshimika. Hatukuwahi kutuhumiwa kuvunja haki za binaadamu kwa sababu tu za kitikadi, hatukuwahi kutuhumiwa kuwa nchi ya ki dictator, wala kuiba kura. Leo sisi ndiyo tunanyoshewa mikono kwa sababu kama hizo.Sijakuelewa? Wizi wa kura ni muhimu?
Sina hofu juu ya Chadema kukataa ruzuku. Wakikataa ndio vyema zaidi mil 104 zipelekwe sekta ya elimu. Kwa mwaka ni bil 1.2 zinatosha kuboost sekta ya elimuHuwezi kuelewa. Tanzania ilikuwa nchi ya kuheshimika. Hatukuwahi kutuhumiwa kuvunja haki za binaadamu kwa sababu tu za kitikadi, hatukuwahi kutuhumiwa kuwa nchi ya ki dictator, wala kuiba kura. Leo sisi ndiyo tunanyoshewa mikono kwa sababu kama hizo.
Ccm na serikali yake hawakutaka vyama vingine vishiriki ujenzi wa taifa hili. 2019 walivuruga uchaguzi wa serikali za mitaa, 2020 wamevuruga uchaguzi mkuu. Na hata nafasi za viti maalum za vyama vingine wamehakikisha wanaweka vibaraka vyao . Sasa hofu yako ni nini kama Cdm hawataki ruzuku ya udhalili ??!! Hawakutaka toka mwanzo vyama vingine vishiriki ujenzi wa taifa hili.