Kwa kuwa CHADEMA wamesusia ruzuku, hizo pesa zielekezwe kwenye elimu

Chadema ina wabunge wawili tu wakuchaguliwa, hao wengine 19 walishatimuliwa - Ni wabunge wasio na Chama.

Pia hakunaga ruzuku ya wabunge wa viti maalum.
Ruzuku halali kwa Chadema ni kutokana na wabunge wawili tu na wingi wa kura za Lisu.
 

Msipeleke kwenye elimu, pelekeni Chato kabisa kwa yesu.
 
Nakupongeza kwa kukubali kwamba Chadema haijihusishi na ruzuku haramu iliyojaa dhulma , sasa mwambie Ndugai naye ili aelewe kwamba Chadema haichukui ruzuku ya damu
 
Nakupongeza kwa kukubali kwamba Chadema haijihusishi na ruzuku haramu iliyojaa dhulma , sasa mwambie Ndugai naye ili aelewe kwamba Chadema haichukui ruzuku ya damu
Tulia mama acha papara.
 
Mbona unaumia juu ya ruzuku? Si mmesema hamuitaki?
Kalime mihogo na kuvuta kokoro maana ndiyo kazi unayoweza,huku kwenye mambo yanayo hitaji kutumia akili tuwachie sisi wanaume wa shoka
 
Kwa uiyo hakuna tena haja ya bunge, bajeti iwe inapangwa hapa jf?
 
Vyovyote vile, si lazima tujadili - CDM ipo ilipo si kwa sababu ya hela ya umma ya masimango.
 
Hakuna la maana uloliandika
 
Hata hivyo CDM inapewa ruzuku ya nini wakati haina wabunge?
Covid-19 walishavuliwa uanachama, hapo ni mtego, wakipokea maana yake bado wanawatambua kama wanachama wa CDM.
 
Hi Mbowe yupo kweli?? simsikii kABISAAAAAAAAAAAAAAAAA..............................
Mbowe yupo UAE Mkuu ,Mmempora Ubunge,Billcanas ,Mashamba ya maua ,sasa yupo kwenye biashara zake za nje ambazo hamna mkono nazo.
 
Chadema ina wabunge wawili tu wakuchaguliwa, hao wengine 19 walishatimuliwa - Ni wabunge wasio na Chama.

Pia hakunaga ruzuku ya wabunge wa viti maalum. Hivyo Ruzuku halali kwa Chadema ni kutokana na wabunge wawili tu.
Na idadi ya kura alizopata mgombea Urais
 
Kwa nini usipendekeze upatiwe wewe Kama ujira wa utumbo wako unaopostiposti huku JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…