Kwa kuwa CHADEMA wamesusia ruzuku, hizo pesa zielekezwe kwenye elimu

Huoni aibu CCM mlifuja pesa za wananchi kwa kuikataa katiba pendekezi ya Jaji Warioba kwa kuendelea na bunge la katiba

Wapinzani waliposusia ujinga huu mliwaona wapingaji leo hii tunaendelea kua na katiba mbovu sana mara fulani haruhusiwi kushitakiwa, kuhojiwa ,kuwajibishwa na madaraka lukuki kapewa

Mtu atashindwaje kuvunja katiba kama anajua hamna cha kumfanya?


Hakuna mahali anaweza kushitakiwa wala kuhojiwa hapo ndio CCM mlmetufikisha watanzania mkijipa ushindi wa mezani uitwao wa kushindo! Wajinga nyinyi!
 
Kama halali kwa Ccm, basi huna haja ya kuiuliza ya Cdm ni halali yao pia.

Cdm haihitaji kupokea ruzuku kama hisani. Ni jukumu la msajili kuwaingizia ruzuku yao. Waliifanyia kazi Idugunde
Mkuu kuwa muelewa. Ruzuku ni halali yenu,lakini mmekataa sababu mnada mliibiwa uchaguzi.

Mmekataa ruzuku acheni itumike kwa mambo ya msingi
 
Kwanini na nusu ya ruzuku ya CCM isikatwe na kupelekwa shuleni?
 
Utawala katili huu hauna hata aibu wanawaza namna ya kupata pesa kwa njia haramu badala ya kuwa na mipango endelevu.
 
Ni ushauri mzuri sana hasa wakati huu taifa likiwa kwenye sintofahamu ya uchaguzi 2020.
Ni kweli CHADEMA walizikataa fedha za wizi, kuzipokea ni kushiriki wizi wa CCM.
Nawashauri wana CCM vile vile wazikatae kwa sababu wao hawakuwa na utamaduni wa wizi wa aina hii wakati wa uchaguzi, na pia wakubali kuandaa mpango mkakati ili kufanya uchaguzi mwingine uliokuwa huru na wa haki
 
Kwa serikali hii, yaweza pora ruzuku ya CHADEMA, itakuwa ni mwendelezo wao ktk kukidhoofisha, walianza kwenye uchaguzi s/mitaa, uchaguzi mkuu, viti maalumu, sitashangaa wakichukua ruzuku, hawana aibu, hakuna cha kufanya!
Majangili walioweza kupora na kupoteza maisha ya wanaharakati, watashindwa vipi kupora hata hizo RUZUKU ambazo zipo katika wizara zenye viongozi waliopata uongozi kwa kupora wengine.

Hizo pesa zitakuwa zimeshachukuliwa, ukidhulumu mara moja utaendelea kudhulumu siku zote mpaka maafa yakukute.

Watapata dhiki na taabu ya ajabu hivi karibuni, kwa kudhulumu mali za wanyonge. Ogopa mali ya mnyonge!
 
Laana ya pesa za uonevu ndo ipelekwe kwa watoto wetu!?

Haki walonyimwa watu ikiwa pamoja na wewe kura yako kuwekwa pembeni zikahesabiwa feki. Hilo wala halikuumi. Usiejielewa
 
Kalime mihogo na kuvuta kokoro maana ndiyo kazi unayoweza,huku kwenye mambo yanayo hitaji kutumia akili tuwachie sisi wanaume wa shoka
Hivi kwanza wewe unayetoa ushauri huu una umri gani??????????? sidhani kama unachoongea kina mantiki tupe facts!!!!!!!!!!!!
Si kazi yako kujua umri wangu, zingatia ushauri kwa sababu ya HEKIMA iliyomo ndani yake.

Hakuna sababu ya kuthibitisha jambo lililo wazi kwa kiasi kikubwa hivyo.

Wala mwenye macho haambiwi TAZAMA
 
Sijakuelewa? Wizi wa kura ni muhimu?
Huwezi kuelewa. Tanzania ilikuwa nchi ya kuheshimika. Hatukuwahi kutuhumiwa kuvunja haki za binaadamu kwa sababu tu za kitikadi, hatukuwahi kutuhumiwa kuwa nchi ya ki dictator, wala kuiba kura. Leo sisi ndiyo tunanyoshewa mikono kwa sababu kama hizo.

Ccm na serikali yake hawakutaka vyama vingine vishiriki ujenzi wa taifa hili. 2019 walivuruga uchaguzi wa serikali za mitaa, 2020 wamevuruga uchaguzi mkuu. Na hata nafasi za viti maalum za vyama vingine wamehakikisha wanaweka vibaraka vyao . Sasa hofu yako ni nini kama Cdm hawataki ruzuku ya udhalili ??!! Hawakutaka toka mwanzo vyama vingine vishiriki ujenzi wa taifa hili.
 
Sina hofu juu ya Chadema kukataa ruzuku. Wakikataa ndio vyema zaidi mil 104 zipelekwe sekta ya elimu. Kwa mwaka ni bil 1.2 zinatosha kuboost sekta ya elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…