K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Mar 2, 2021 #81 Idugunde said: Mara ghafla tukapata taarifa kuwa hawapokei ruzuku na wala hawana mpango nayo. Click to expand... Hiyo taarifa umeipata wapi?unadhani Mbowe anaweza kuacha pesa?
Idugunde said: Mara ghafla tukapata taarifa kuwa hawapokei ruzuku na wala hawana mpango nayo. Click to expand... Hiyo taarifa umeipata wapi?unadhani Mbowe anaweza kuacha pesa?
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Mar 9, 2021 #82 King Kong III said: Mnawaza ruzuku tu? Haki yao iliyoporwa kwenye uchaguzi je? Click to expand... Duniani hakuna haki.Haki itapatikana kwa Mungu Baba wa Mbinguni.
King Kong III said: Mnawaza ruzuku tu? Haki yao iliyoporwa kwenye uchaguzi je? Click to expand... Duniani hakuna haki.Haki itapatikana kwa Mungu Baba wa Mbinguni.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Mar 9, 2021 #83 chikambabatu said: Kwa serikali hii, yaweza pora ruzuku ya CHADEMA, itakuwa ni mwendelezo wao ktk kukidhoofisha, walianza kwenye uchaguzi s/mitaa, uchaguzi mkuu, viti maalumu, sitashangaa wakichukua ruzuku, hawana aibu, hakuna cha kufanya! Click to expand... Ndo hivyo mkuu.
chikambabatu said: Kwa serikali hii, yaweza pora ruzuku ya CHADEMA, itakuwa ni mwendelezo wao ktk kukidhoofisha, walianza kwenye uchaguzi s/mitaa, uchaguzi mkuu, viti maalumu, sitashangaa wakichukua ruzuku, hawana aibu, hakuna cha kufanya! Click to expand... Ndo hivyo mkuu.
Nsimbinso JF-Expert Member Joined Dec 15, 2020 Posts 407 Reaction score 431 Mar 9, 2021 #84 Wanipe mimi tu asee