ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 496
- 570
Halafu unafaidika na nini wewe ambaye ndugu zako kule kijijini wanakunywa maji kwenye bwawa pamoja na ng'ombe?CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano.
Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara.
Inatakinawa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools