Kwa kuwa viongozi wa chadema wameahidi siasa za mapambano, CCM irudi kwenye siasa za jino kwa jino, nginja nginja, na mapambano

CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano.

Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara.

Inatakinawa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools
Halafu unafaidika na nini wewe ambaye ndugu zako kule kijijini wanakunywa maji kwenye bwawa pamoja na ng'ombe?
 
CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano.

Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara.

Inatakiwa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools
Mmechanganyikiwa hadi mnatia huruma
 
CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano.

Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara.

Inatakiwa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools
CCM wenyewe ndio wameyataka haya. Huwezi kuwanyanyasa watu na kuwanyanganya uchaguzi waziwazi utegemee wakae kimya. Kiukweli siasa za Tanzania zinaenda kubadilika kabisa. Na ni kweli inawezekana umwagaji wa damu ukatokea ikikosekana busara ya viongozi. Ni wakati wa Katiba mpya sasa mkishupaza shingo nchi inatumbukia shimoni maana tutashuhudia siasa za Ubaya ubwela!
 
Back
Top Bottom