Ukiona mtu anaongea negative kuhusu jambo fulani jua yamemkuta au kayashuhudia kwa watu wa karibu.Inashangaza sana hawa watu wamejaa negative kuhusu wanawake
πππ Kwahiyo anamsubiri azikusanye kwanza?Sasa huna hela hata angekuua si angepata dhambi za bure tu
Wachache sana wanaokimbia waume zao wakati wa maradhi,na hiyo hutokana na ndoa zenyewe zinakuwa na migogoro mume kuhisiwa ana vimada so usitegemee mume aanze kuugua ukimwi ule wa kuharisha mkewe akamsafishe.Wewe kama alibakia kukulisha shukuru Mungu... wenzako wanakimbiwa tena wakiwa taabani....haya mambo ni kumtanguliza tu Mungu mbele
Kumbuka kuwa "nyumba ni mwanamke".Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
Sasa kuendelea kuongea vibaya kuhusu wanawake wakuwezi kuponya maumivuUkiona mtu anaongea negative kuhusu jambo fulani jua yamemkuta au kayashuhudia kwa watu wa karibu.
Si kwa mahusiano tu hata mambo mengine ndivyo mambo yalivyo shida ni kugeneralize baada ya kuumizwa.
Ahhahahah miaka imeenda sanaaaa. Hata maumivu siyakumbuki yaliumaje japo yaliuma haswaaaπππππππPole bro natumain ume move on sasa, na maisha yanaenda au jeraha bado lipo mkuu
Kinawauma nini sisi tukilalamika? Au unaonaje nyie ndio mfanye mambo mengine mtuache sisi na kulalamika kwetu?Kama wanawake hamuwawezi achaneni nao
Fanyani michongo mingine
Bana mmzidi kulalama jushikilieni
Kulalama nyie
Kuua nyie
Inasikitisha sana mnalialia mnooπ’
Mchumba mwenyewe sasa, unaeza kuta yupo hivi ππΎ SanArtAisee Mimi Nina mchumba nampenda sana,huwezi nishawishi.
Looh,kikubwa ni wanguπ,
Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
Kuna wanaume wamebahatika kupata wake wema, ila wanaume wengine ni vilio tu insta, TikTok na Jf binti kiziwiKuna post ticktock ilikuwa imeandika hivi βukikutana na Mungu saa hii utamwambia niniβ? Nikafungua comments section, Comment ya kwanza mwanaume alikuwa ameandika hivi: Nitamwambia ampe maisha marefu mke wanguβ
My heart melted π₯°
Una uhakika, i-hack simu yake uikague π MawardatDellapinaLooh,kikubwa ni wanguπ,
Hayo mengine ya wengine sitaki kuyajua,,najisemea Mimi kama Mimi na yeye,,ya yeye na wake hayanihusuπUna uhakika, i-hack simu yake uikague π MawardatDellapina
Kwani nani kasema mke hana faida,shida ni 50/50,naona huyo wako hajadanganyika bado...Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
hii comment yako imenihuzunisha sana, iko hivi huku mtandaoni na ground ni tofauti. unaotuona tunaandika negatives apa ukija uku ground sisi ndo tunaongoza kuhusudu wanawake. mimi binafsi naongoza kuchukia wanawake huku mtandaoni ila ukija kwenye uhalisia mimi nawapenda sana na siwezi kuishi bila nyie bora tu nife π maisha ya mwanaume yanarevolve kwa mwanamke for more than 85%Inashangaza sana hawa watu wamejaa negative kuhusu wanawake
Kwa wewe sikatai mzee wa totoziππΌ π πhii comment yako imenihuzunisha sana, iko hivi huku mtandaoni na ground ni tofauti. unaotuona tunaandika negatives apa ukija uku ground sisi ndo tunaongoza kuhusudu wanawake. mimi binafsi naongoza kuchukia wanawake huku mtandaoni ila ukija kwenye uhalisia mimi nawapenda sana na siwezi kuishi bila nyie bora tu nife π maisha ya mwanaume yanarevolve kwa mwanamke for more than 85%
just to let you know binti kiziwi
Sisi haituumii ila tunawasikitikia π’Kinawauma nini sisi tukilalamika? Au unaonaje nyie ndio mfanye mambo mengine mtuache sisi na kulalamika kwetu?
Yan hata tukilalamika tu nyie mnaumia??ππππ
Kweli huu ni ubinafsi uliopitiliza. Nyie fanyeni mambo yenu sie tuacheni..
Pole sana mkuu ninejaribu kutafuta huo Uzi wako sijapata mkuu ukinitag itapendeza sana ili tuchukue elimu hawa wanawake hawa ni wauwajiAhhahahah miaka imeenda sanaaaa. Hata maumivu siyakumbuki yaliumaje japo yaliuma haswaaaπππππππ
Sio vibaya.Sisi haituumii ila tunawasikitikia π’
Kwanini kusikitika vibaya ?
Poleni sana