Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Kuna jamaa alikuwa Town anafanya kazi , kajenga kwao nyumba .
Mara akapata short kazini, akasimamishwa kazi na kesi juu
Mke akamshawishi wauze nyumba , jamaa akaja mkoani akauza nyumba.
karudi town kwa mkewe.
PEsa zilivyokaribia kuisha mke akamkimbia.
Maisha yakawa magumu town, akarudi kijijini.
Stress zikamkamata, hata kijijini akaanza kudharaulika, stress zikazidii.
Mara byebye.

Kuoa omba upate mke , ukikosea umekwisha.
 
Wanaume tunaridhika na vitu vidogo sana toka Kwa mwanamke. Hapo mwana ameshajisahau tayari😀
 
Kila ndoa huwa njema mwanzoni. Shetani hupenda kuilingilia hizi ndoa ili azisambaratishe. Shukuru leo unalishwa chakula ukiwa kitandani. Usipoipambania hiyo ndoa utakuja kuogeshwa pia (ukiwa mochwari)
 
Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
Kulishana sio hadi kuumwa . Ata ukiwa njema anatakiwa akulishe (mahaba)

Natania tu mkuu 🙃.

Hongera umepata wa shida na raha.

Kataa Ndoa 0- 1 kubali ndoa.
 
Wanawake hawa ni mithani sana
 
Daahh mzee, maisha haya ni fumbo sana kwakweli. Mimi niwe mkweli kwasasa sitaki kusikia hizi habari kabisaaa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…