Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Nadhani ni kwenye 40+ hivi
Yes.... walibahatika kupata watoto wawili!!
Mwanaume anayefanyiwa ubaya na mwanamke ajitafakari sana.
Wanaume wakiwa na afya njema wana manyanyaso, ukatili, udhalilishaji na dharau +umalaya.

Kabla hujamuhukumu huyu mama, jaribu kujua maisha ya rafiki yako kabla ya kuumwa.
sisi wanawake tuna vinyongo sana na sayansi tunaijua mwanaume kuanzia miaka 38 mpaka 45 lazima awe na katatizo kake ka ugonjwa kake na sisi hapo hapo kama ulileta kero tunapiga kwenye mshono visasi vyetu havinaga haraka.
 
Pole sana bro, huyo shemeji Yako kanikumbisha yule muigizajo wa the mummy movie la zamani sana kumbe mwana alipataga stroke kwenye kuigoza wote walimkumbia, baadae mkewe akawasilisha mahakamani alipwe bilioni kadha na mali achukie jamaa akaanza kulia mahakamani akidai Hali yake mbaya haijiwezi wasiuze mali zake ili achukie mkewe, Sheria za marekani na wanawake hawakumsikiliza piga mnada jamaa ana lia tu, maisha haya bhasiii tu
 
Wana kibao hiyo hatua hua wanatumbukia kwenye ulevi, mpaka mauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…