Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

shida inaanzia pale unapo oa mke wa mtu na umalaya wa mwanamke
 
Kuwashauri tu nyie Wababa mnaotusema vibaya wanawake. Kesho iliyo nzuri inatengenezwa na leo nzuri hivyo usikae ukamfanyia leo mwanamke yasiyo faa ukategemea huko mbele yakikukuta yeye atakulipa mazuri.

Kiukweli hiyo sahauni.
 
Sio wote wanaotendewa hivyo hawakuwa wema kwa wake zao. Kuna wanawake ni makatili sana
 
Kuwashauri tu nyie Wababa mnaotusema vibaya wanawake. Kesho iliyo nzuri inatengenezwa na leo nzuri hivyo usikae ukamfanyia leo mwanamke yasiyo faa ukategemea huko mbele yakikukuta yeye atakulipa mazuri.

Kiukweli hiyo sahauni.
Mbona tunatishana jamani 😁
 
Kuwashauri tu nyie Wababa mnaotusema vibaya wanawake. Kesho iliyo nzuri inatengenezwa na leo nzuri hivyo usikae ukamfanyia mwanamke yasiyo faa ukategemea yeye atakulipa mazuri.

Kiukweli hiyo sahauni.
Hujui unacho kizungumzia dada, nimeshuhudia watu wakiishi kwa wema na wake zao lakini bado wakaletewa watoto wa nje na bado wakapigwa ballistic
 
Tena wanasikitisha hasaa. Yaani mtu anavyomuongelea vibaya mwanamke hadi unamshangaa hivi yupo sawa kweli huyu.

Mwingine hadi katuita mashetani. Nimepita namsonya sio siri.
kausha wanaume tuna siri zetu tunahudhuria vikao vyetu.
Na sasa tuliambizana hairuhusiwi kumtamkia mwanamke neno "NAKUPENDA" kwan atavimba bichwa.

tunacho fanya hapa tunakudogosha kwanza ili ujione wa kawaida upunguze malingo na hapo ndo tutaenda sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…