Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Hahahaa. Kwenye hilo uko peke yako Mkuu.

Wenzako huko wanawaambia wenza wao nakupenda kila uchwao asubuhi, mchana na jioni.
 
Ukiangukia korona lazima ujute! Wanawake wengi hawafai kuwa wake, hata kuwa mama tu hawafai.
 
Huu ndio ukweli wenu.
 
Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
pole kwa madhila ya kuugua. Ni kweli Hawa (Eva) [mwanamke] aliumbwa ili kumsaidia Adamu (mwanamume)

1 Wakorintho 11 (Biblia Takatifu)
Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―
⁸ Maana mwanamume hakutoka katika mwanamke, bali mwanamke katika mwanamume.
⁹ Wala mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume.
 
Kwa nyakati tulizo nazo ni akheri kwako kutokuoa...maana kwenye kuoa kuna shari nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…