Duh! Yaani hukuwa ukijua utajiri wa Tanzania mpk shetani lenu la Chato lilipokufumbua!!R.I.P Magufuli ulitufumbua macho kuhusu utajiri wa taifa letu.
Huyo Magu kwake ni km Mungu vileWewe nae
Interests zangu haziko huko kwenye sheria, but I can assure you, if I had wanted to, there could have been no barriers in attaining the needed qualifications.Mambo ni magumu sana hata bila ya mimi kuyafanya magumu. Yangekuwa marahisi kama wewe unavyotaka kulazimisha hapa, basi huenda kila mtu ikiwemo wewe angekuwa ni mwanasheria wa sheria za mikataba na uwekezaji. YOU CAN TAKE THIS TO THE BANK!
Nini simanzi, utakondeana kabisa. Chuki zako za kidini ndio mateso ulitojiatakiaNapata simanzi sana ninapofikiria nchi yetu inauzwa kwa waarabu
Bandari sio zenu, ni za kwaoIfikie wakati tukubali tu Wazanzibari wameuza bandari zetu za Tanganyika kwa ndugu zao Waarabu. Full stop.
You sound bitter and frustrated. Get a grip Oldman!Interests zangu haziko huko kwenye sheria, but I can assure you, if I had wanted to, there could have been no barriers in attaining the needed qualifications.
Msitake kufanya mambo yaonekane kuwa magumu. Kama kuna binaadam mwingine anayaweza, itakuwaje pasiwepo wa kuyaweza kati yetu?
I do not subscribe to that view at all!
miaka ya 1600 waliunda kitu kama hiki DP World iliyokuwa na uwezo wa kusimamia maslahi ya Uholanzi nchi za mbali
EeeenHeeee!You sound bitter and frustrated. Get a grip Oldman!
Now, this is what I call an acute Mid-Life Crisis.EeeenHeeee!
A 'grip' of what?
How do you know I am an old man?
And for your information, if you think "I sound bitter and frustrated" for the sake of Tanzania, I have no apologies for that.
Wrong.Now, this is what I call an acute Mid-Life Crisis.
Mkuu wewe ni mwanachama au sio mwanachama na vipi ushiriki wako wa vikao vya Tls.Wanabodi,
Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni Mnyamwezi, Kinyamwezi hii inaitwa "funga kalomo", yaani funga mdomo!. Taarifa hii ya TLS ni funga kazi, na huu ndio uzalendo!, hongera sana TLS kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Kama mwanachama mwaminifu wa TLS, kwa heshima ya chama changu cha wanasheria wa Tanganyika, naomba nisikosoe jambo lolote kwenye taarifa ya TLS, ila sio vibaya kuzungumzia baadhi ya hoja ambazo TLS haikuzigusia kabisa!.
Ni baada ya kuisoma taarifa ya TLS, ndipo nikagindua mtu mwandishi wa habari kwanza, halafu ukaingia kwenye sheria, unakuwa na jicho kali zaidi kuliko jicho la mwanasheria mwanasheria tuu ambaye sio mwanahabari!.
Jicho la Mwanasheria linaangazia vifungu vya katiba, sheria, taratibu na kanuni, jicho la mwanahabari linaangalia mtazamo wa jamii, Mwananchi wa kawaida, anaona nini, anataka nini, hivyo jicho la mwanahabari linaona kuliko jicho la mwanasheria.
Baada ya Bunge letu kuridhia, niliandika makala hii, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! humo niliainisha mapungufu ya IGA hiyo kisheria kwa jicho la kiuanahabari.
TLS katika taarifa yao, kuna maeneo mengi wamepita mule mule nilimopita mimi, ila lile kubwa kuliko, "The Capacity" to contract, TLS wamelikwepa na kuliweka kiporo kusubiria wawasiliane na Dubai.
TLS hawakuyaona yale niliyo yaona mimi!. Tanzania ni nchi, inakwenda kuingia mkataba wa kimataifa wa nchi na nchi, yaani Tanzania na UAE, lakini signatories wa Tanzania ni nchi, halali signatories wa UAE ni kampuni ya DPW!, tena imesaini bila POA yoyote toka UAE!.
Kwa maneno mengine ni kampuni ya DPW imejigeuza ni nchi ya Dubai wakati ni kampuni binafsi!, sio nchi, Dubai sio nchi, nchi ni UAE!, nchi yetu haiwezi kuingia mkataba wa kimataifa wa kuwa ratified na Bunge letu kama an international Treaty wakati signatories ni kampuni na sio nchi na hakuna POA yoyote ya UAE kuruihusu DPW to transact an international Treaty on behalf of UAE!.
Nimeipongeza TLS kwa uzalendo kwenye hili, ila nikiri kuwa nimeshangazwa na umakini huu wa TLS katika hili la Bandari.
Sheria Kuu kuliko zote nchini kwetu ni katiba, katiba ndio sheria Mama, sheria nyingine yoyote inayokwenda kinyume cha katiba ni sheria batili!. Kinachoibatilisha hiyo sheria yoyote kinyume cha katiba, ni katiba yenyewe!.
Mpaka leo ninapoandika hapa, Katiba yetu bado inacho kifungu batili hicho!, sheria zetu bado zina ubatili huo na TLS wako kimya!.
- Serikali yetu ime draft sheria batili, inayokwenda kinyume cha katiba, ikaipeleka Bungeni kutungwa kuwa sheria!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Bunge letu likaitunga hiyo sheria batili inayokwenda kinyume cha katiba, kwanini TLS walikaa kimya?.
- Rais wa JMT akaisaini hiyo sheria batili kuwa ni sheria!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Mahakama Kuu kupitia kesi ya Mtikila, ikatamka sheria hiyo ni batili na kuitaka serikali iifute. Kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Ubatili wa sheria batili yoyote unabatilishwa na katiba, Mahakama Kuu ikiisha tamka sheria fulani ni batili kwa kwenda kinyume cha katiba, automatically sheria batili hiyo inakuwa imebatilika from there and then. Kazi ya serikali ni procedures tuu za kuifuta!. Kwanini TLS walikaa kimya na sheria batili hiyo mpaka sasa bado iko kwenye sheria zetu licha ya Mahakama Kuu kutangaza ni batili?.
- Serikali yetu ikakata rufaa kupinga uamuzi huo wa Mahakama Kuu, ikashidwa!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Serikali yetu baada ya kubwebwa, ikafanya kubwa kuliko, ikapeleka Bungeni mabadiliko ya katiba kwa hati ya dharura, batili ile ikachomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu!. Kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Bunge letu likafanya mabadiliko ya katiba na kuichomeka hiyo batili ndani ya katiba yetu!. Hivyo katiba yetu imenajisiwa kwa kuchomekewa ubatili!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Mchungaji Mtikila hakukubali katiba yetu inajisiwe, akafungua shauri kupinga mabadiliko hayo ya katiba, Mahakama Kuu ikampa ushindi na kutangaza mabadiliko hayo ni batili!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Serikali yetu ikakata rufaa Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi huo wa Mahakama Kuu, serikali ikashinda, kwanini TLS walikaa kimya?!.
Nimalizie kwa pongezi tena, TLS kwa hili la Bandari, ila kuna makubwa kuliko hili la Bandari, TLS bado hamjachelewa!.
Mungu ibariki TLS
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
You're suffering from a very dangerous malady called megalomania. This false bravado, sheer pomposity and condescending behaviour clear my doubts about awful conditions within your mental enclaves.Wrong.
It can never be 'acute' if it happens at anyone's mid-life'. Again, this is an example of the same ignorance as displayed in the original write-up that has brought us to this point.
Wewe ni mwanachama hai wa TLS, na kwa hiyo wewe na TLS ni kitu kimoja.Wanabodi,
Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni Mnyamwezi, Kinyamwezi hii inaitwa "funga kalomo", yaani funga mdomo!. Taarifa hii ya TLS ni funga kazi, na huu ndio uzalendo!, hongera sana TLS kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Kama mwanachama mwaminifu wa TLS, kwa heshima ya chama changu cha wanasheria wa Tanganyika, naomba nisikosoe jambo lolote kwenye taarifa ya TLS, ila sio vibaya kuzungumzia baadhi ya hoja ambazo TLS haikuzigusia kabisa!.
Ni baada ya kuisoma taarifa ya TLS, ndipo nikagindua mtu mwandishi wa habari kwanza, halafu ukaingia kwenye sheria, unakuwa na jicho kali zaidi kuliko jicho la mwanasheria mwanasheria tuu ambaye sio mwanahabari!.
Jicho la Mwanasheria linaangazia vifungu vya katiba, sheria, taratibu na kanuni, jicho la mwanahabari linaangalia mtazamo wa jamii, Mwananchi wa kawaida, anaona nini, anataka nini, hivyo jicho la mwanahabari linaona kuliko jicho la mwanasheria.
Baada ya Bunge letu kuridhia, niliandika makala hii, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! humo niliainisha mapungufu ya IGA hiyo kisheria kwa jicho la kiuanahabari.
TLS katika taarifa yao, kuna maeneo mengi wamepita mule mule nilimopita mimi, ila lile kubwa kuliko, "The Capacity" to contract, TLS wamelikwepa na kuliweka kiporo kusubiria wawasiliane na Dubai.
TLS hawakuyaona yale niliyo yaona mimi!. Tanzania ni nchi, inakwenda kuingia mkataba wa kimataifa wa nchi na nchi, yaani Tanzania na UAE, lakini signatories wa Tanzania ni nchi, halali signatories wa UAE ni kampuni ya DPW!, tena imesaini bila POA yoyote toka UAE!.
Kwa maneno mengine ni kampuni ya DPW imejigeuza ni nchi ya Dubai wakati ni kampuni binafsi!, sio nchi, Dubai sio nchi, nchi ni UAE!, nchi yetu haiwezi kuingia mkataba wa kimataifa wa kuwa ratified na Bunge letu kama an international Treaty wakati signatories ni kampuni na sio nchi na hakuna POA yoyote ya UAE kuruihusu DPW to transact an international Treaty on behalf of UAE!.
Nimeipongeza TLS kwa uzalendo kwenye hili, ila nikiri kuwa nimeshangazwa na umakini huu wa TLS katika hili la Bandari.
Sheria Kuu kuliko zote nchini kwetu ni katiba, katiba ndio sheria Mama, sheria nyingine yoyote inayokwenda kinyume cha katiba ni sheria batili!. Kinachoibatilisha hiyo sheria yoyote kinyume cha katiba, ni katiba yenyewe!.
Mpaka leo ninapoandika hapa, Katiba yetu bado inacho kifungu batili hicho!, sheria zetu bado zina ubatili huo na TLS wako kimya!.
- Serikali yetu ime draft sheria batili, inayokwenda kinyume cha katiba, ikaipeleka Bungeni kutungwa kuwa sheria!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Bunge letu likaitunga hiyo sheria batili inayokwenda kinyume cha katiba, kwanini TLS walikaa kimya?.
- Rais wa JMT akaisaini hiyo sheria batili kuwa ni sheria!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Mahakama Kuu kupitia kesi ya Mtikila, ikatamka sheria hiyo ni batili na kuitaka serikali iifute. Kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Ubatili wa sheria batili yoyote unabatilishwa na katiba, Mahakama Kuu ikiisha tamka sheria fulani ni batili kwa kwenda kinyume cha katiba, automatically sheria batili hiyo inakuwa imebatilika from there and then. Kazi ya serikali ni procedures tuu za kuifuta!. Kwanini TLS walikaa kimya na sheria batili hiyo mpaka sasa bado iko kwenye sheria zetu licha ya Mahakama Kuu kutangaza ni batili?.
- Serikali yetu ikakata rufaa kupinga uamuzi huo wa Mahakama Kuu, ikashidwa!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Serikali yetu baada ya kubwebwa, ikafanya kubwa kuliko, ikapeleka Bungeni mabadiliko ya katiba kwa hati ya dharura, batili ile ikachomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu!. Kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Bunge letu likafanya mabadiliko ya katiba na kuichomeka hiyo batili ndani ya katiba yetu!. Hivyo katiba yetu imenajisiwa kwa kuchomekewa ubatili!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Mchungaji Mtikila hakukubali katiba yetu inajisiwe, akafungua shauri kupinga mabadiliko hayo ya katiba, Mahakama Kuu ikampa ushindi na kutangaza mabadiliko hayo ni batili!, kwanini TLS walikaa kimya?!.
- Serikali yetu ikakata rufaa Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi huo wa Mahakama Kuu, serikali ikashinda, kwanini TLS walikaa kimya?!.
Nimalizie kwa pongezi tena, TLS kwa hili la Bandari, ila kuna makubwa kuliko hili la Bandari, TLS bado hamjachelewa!.
Mungu ibariki TLS
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
DP World Dubai ni mkoloni pacha mithili ya kampuni ya VOC (Verenigde Oostindische Compagnie) ya Uholanzi - Part company, Part state
Historia ya wakoloni wa Udachi yaani the Netherlands al maarufu Uholanzi miaka ya 1600 waliunda kitu kama hiki DP World iliyokuwa na uwezo wa kusimamia maslahi ya Uholanzi nchi za mbali. Kampuni hiyo iliitwa The Dutch East India Company VOC, Verenigde Oostindische Compagnie).
Iliasisiwa baada ya msuguano baina ya Uholanzi iliyokuwa koloni / jimbo inatawaliwa na Spain kujinasua kutoka kwa nchi kubwa ya kifalme ya Spain.
DP World wanapita mulemule kuwa Dubai ipo ndani ya UAE chini ya utawala wa mfalme wa Abu Dhabi. Hivyo Dubai baada ya kupita katika misuko msuko ya kiuchumi imetambua ianzishe DP World iliyojivika koti la Dubai isimuuzi bwana mkubwa Dubai wala Umoja wa Falme za Kiarabu UAE lakini dhumuni ni kuiwakilisha Dubai kupitia kificho cha DP World .
DP World ya Dubai na The Dutch East India Company VOC, Verenigde Oostindische Compagnie) agenda zao ni za kikoloni na mikataba yote inayoingiwa imo kwa minajili ya kuwakilisha watawala wa nchi zao ndogo kidiplomasia, kijeshi, kutwaa ardhi nchi za mbali na kuingia mikataba kama vile wao (kampuni) ni nchi hasahasa na nchi duni za dunia hii.
In the mid-1500s, the Netherlands revolted against its then-ruler, Spain. The ensuing conflict lasted nearly eighty years and dovetailed with several major European wars. While Spain continued to press its claim to the Netherlands, the country successfully established itself as a sovereign state, the Dutch Republic, by the end of the 1500s.
Basically, the Netherlands was under threat. It had just declared its independence from Spain in 1581, forming the Dutch Republic. Quite an ambitious move, considering that the Spanish had the force of half of Europe behind them at the time.
Given this vulnerability, you can see the advantages of drawing wealth from outside the tiny Dutch Republic and using it to shore up the newly established country against foreign control (while, of course, controlling other countries — but we’re not talking about morality or even ideological consistency here).
This gave the wealthy merchants of the Netherlands the opportunity to expand their trading to distant shores. In the late 1500s, Dutch trading companies sponsored expeditions to Asia, particularly targeting Indonesia. There was immense demand in Europe for the spices produced in Indonesia, so whoever gained control of the Indonesian spice trade stood to make an immense profit.
In 1602, the Dutch government pressed separate trading companies to unite into the Dutch East India Company, or the VOC. The government granted this united company an official trade monopoly, meaning that no other Dutch company could compete with it for trade in Southeast Asia especially
Mauritius, South Africa, Indonesia, Taiwan, Japan, Malaysia, Thailand, and Vietnam.
Not all of these locations were the sites of permanent settlements or even permanent trading posts: but listing them all here gives us a sense of how massive this company was.
The VOC used an innovative new business model: the joint-stock company. Through this system, wealthy investors could purchase a share of the company and get a proportion of the company's overall gains or losses. As a result, the loss of one ship would not deeply impact individual investors, since their investment was spread over the entire fleet.
The VOC grew quickly after its establishment. The following is a cursory timeline of the first decade of the VOC:
Over the next several decades, the VOC grew to dominate European trade with Asia. Since it outcompeted other European companies, the VOC could sell spices at grossly increased prices in European markets, bringing it immense profits. These profits were reinvested into the corporation, allowing it to grow even further.
Date Event 1603 The VOC establishes its first permanent trading post in Indonesia on the island of West Java 1609 The VOC seizes the Portuguese trading fortress in Pulicat, India. That same year, the VOC develops a trading post on the island of Hirado in Japan. 1611 The VOC establishes a trading post in the major Indonesian city of Jayakarta.
The Dutch East India Company (VOC, Verenigde Oostindische Compagnie), founded in 1602 and liquidated in 1795, was the largest and most impressive of the early modern European trading companies operating in Asia. About twenty-five million pages of VOC records have survived in repositories in Jakarta, Colombo, Chennai, Cape Town, and The Hague. The VOC archives make up the most complete and extensive source on early modern world history anywhere with data relevant to the history of hundreds of Asia’s and Africa’s former local political and trade regions ....
The VOC and war
Of course, a massive company like the VOC attracts attention – and because of its dominance in international trade, that attention was mainly negative.
It got into conflict with the British East India Company for obvious reasons: they were both going for the same thing.
Because of the weird space that the VOC occupied — part company, part state — its trade objectives often...
One of the scariest things is that the VOC could recruit it's own army aligned with military goals...
READ MORE :
Source : Archives of the Dutch East India Company | Silk Roads Programme
Good.You're suffering from a very dangerous malady called megalomania. This false bravado, sheer pomposity and condescending behaviour clear my doubts about awful conditions within your mental enclaves.
Kuweza kuelewa vizuri ule mkataba inahitaji uwe zaidi ya mwanasheria. Inahitaji kwanza kabisa uifahamu vizuri PUBLIC INTERNATIONAL LAW, bila hivyo utaingia chaka. Tafasiri za vifungu vya sheria za kimataifa hasahasa mikataba (Treaties), ni tofauti kabisa na tafasiri ya kwenye mikataba ya kawaida (Contracts). Kuna mambo kadhaa wa kadhaa ambayo kifalsafa mwanasheria anahitaji kuyafahamu kabla ya kuanza kutafasiri vifungu vya mkataba kama ule wa DP World....
Okay.Good.
If I have put you in your rightful place, all those 'superlatives' only go to show how accurate I have been in sizing you down.