Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mbona nimekujibu na hujaendeleza hojaji lako kwenye swali hili?Naamini hata wewe unaelewa Kiswahili....
Niliandika hivi..
Ni wapi nimesema vitu vipo hivi hivi tu?
Mwenzako kaandika kwamba kutokuwepo uthibitisho wa kuwepo mungu kunathibitisha kwamba mungu kapita uwezo wa binadamu, kutokuwepo uthibitisho wa kuwepo kwa mungu kunathibitishaje kuwepo kwake at all? Sembuse kuwepo kwa mungu aliyepita uelewa wa binadamu?
Kwa nini nilazima awepo "muanzilishi" na "muanzilishi" tu na si kingine chochote?
Hujajibu.