Kwa maafa ya Hanang' serikali iwe inasikiliza wazee

Marekani tu mpaka leo red Indians wanaendeleza mila zao,na wamarekani wanaitambua mila zao

Wakati msiba wa malkin uliona wale askari wakiwa na mbuzi,wee endelea kusema kusema ohh mila potofu

Hivi unajuwa wakati wazungu wako shinyanga mwadui kwenye almost
Huko walikuwa wanafanya matambiko

Nyie endeleeni kuleta dharau

Ova
Mkuu ungemuacha tu yeye anaona mizimu ya kiyahudi na kiarabu ndio ya kisasa yakwao anasema ni ushamba na huyu ni msomi anayetakiwa kulivusha taifa.
 
Mimi babu yangu miaka hiyo alipokuwaga Williamson diamond mwadui anakuambia wazungu walikuwa wanapiga matambiko ya maana hadi kutoa sadaka,chinja sana mbuzi huko
Matambiko waafrika tunayapoteza wenyewe,kwa kuleta dharau
Wazungu wenyewe wana rituals zao
Wanafanya

Ova
 
Nimewahi kuskia Serikali haiamini uchawi ushirikina,imani za hivyo SA inakuwaje hapo mkuu!
 
Wakuu,kwa taarifa nilizozipata mlima Hanang' hua unautaratibu wa kufanyiwa matambiko,

Mlima ulianza kuunguruma tangu mwezi wa Tisa ,wazee wa mlima Hanang' wanajua ulikua unaashiria Nini

Mlima huo unapoanza kutoa ngurumo na kutikisika wazee hua wanajua unaashiria Nini

Kikawaida hua wanapanda mlimani wazee wa kibarabaigi huufanyia matambiko kwa kuchinja ng'ombe,pombe na hatimie mizimu husikia na kutulia

Kilichotokea Hanang' mlima ulianza kuunguruma Toka mwez wa 9 na kutikisika kidogo,kama kawaida ya Mila na desturi lazima tambiko lifanyike

Wazee wakajipanga wakati wanaenda mlimani wakakutana na watu wa misitu(maliasili) wakafukuzwa milimani

Wazee waliapa kitachotokea mwaka huu lazima nchi itikisike ,baada ya siku 3 likatokea la kutokea watu zaidi ya 80 wamekufa

Hakuna Cha mudflow,land slide,debris flow ,ni kukaidi Mila na desturi za eneo husika zisifanyike ,

Chonde chonde serikali,YA KAISARI MUWAACHIE YA KAISARI ,yakwenu fanyeni yenu,

Tumepoteza watu wengi kisa tunajifanya hatujui Mila na desturi za eneo husika

Kama unabisha waulize watu wa Hanang' asili ya mlima huo
Nakuelewa sana, narudia tena nakuelewa mno tusipuuze asili yetu
 
Mimi babu yangu miaka hiyo alipokuwaga Williamson diamond mwadui anakuambia wazungu walikuwa wanapiga matambiko ya maana hadi kutoa sadaka,chinja sana mbuzi huko
Matambiko waafrika tunayapoteza wenyewe,kwa kuleta dharau
Wazungu wenyewe wana rituals zao
Wanafanya

Ova
Ngoja nikachukue mafuta kwa mwamposa nitarudi cc. Donatila
 
Wakuu,kwa taarifa nilizozipata mlima Hanang' hua unautaratibu wa kufanyiwa matambiko,

Mlima ulianza kuunguruma tangu mwezi wa Tisa ,wazee wa mlima Hanang' wanajua ulikua unaashiria Nini

Mlima huo unapoanza kutoa ngurumo na kutikisika wazee hua wanajua unaashiria Nini

Kikawaida hua wanapanda mlimani wazee wa kibarabaigi huufanyia matambiko kwa kuchinja ng'ombe,pombe na hatimie mizimu husikia na kutulia

Kilichotokea Hanang' mlima ulianza kuunguruma Toka mwez wa 9 na kutikisika kidogo,kama kawaida ya Mila na desturi lazima tambiko lifanyike

Wazee wakajipanga wakati wanaenda mlimani wakakutana na watu wa misitu(maliasili) wakafukuzwa milimani

Wazee waliapa kitachotokea mwaka huu lazima nchi itikisike ,baada ya siku 3 likatokea la kutokea watu zaidi ya 80 wamekufa

Hakuna Cha mudflow,land slide,debris flow ,ni kukaidi Mila na desturi za eneo husika zisifanyike ,

Chonde chonde serikali,YA KAISARI MUWAACHIE YA KAISARI ,yakwenu fanyeni yenu,

Tumepoteza watu wengi kisa tunajifanya hatujui Mila na desturi za eneo husika

Kama unabisha waulize watu wa Hanang' asili ya mlima huo
Unachosema nilishakisikia wiki iliyopita na pia waliofariki ni zaidi ya watu mia 2 lakini serikali inatangaza miili iliyopatikana...maiti zimeoza na kuna hatari ya magonjwa ya mlipuko....
 
Ndiyo tabia zao kuficha ficha kila kitu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom