To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😂🙌hakikaDunia ina mambo mengi mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂🙌hakikaDunia ina mambo mengi mno
Babu zetu na bibi zetu walizaliwa wakayakuta waliyoyakuta hapa duniani, wakaishi hivyo hivyo hadi siku zao za kuondoka zilivyofika wakaondoka na kuyaacha waliyoyakuta.😂🙌hakika
Mihemko.Yaani hata taarifa hukuskia kwenye vyombo vya habari waathirika walivyohojiwa asubui waliskia sauti ya muungurumo kama volcano,nyinyi mnoishi kwa niaba ya hisani ya Facebook,Instagram, TikTok mnashida
Ndo mana nimekujibu,nyinyi mliokulia mnapanda daladala mwendo wa mita 300 mnashida sana,iyo ni azabu ya mizimu sio hao wazee,wazee kazi Yao ni kuongea na mizimu kwa luga Yao wanaambiwa mizimu inataka Nini wanaitambikia ili kuweka mambo sawa,wazee hawahusiki na kutoa adhabu kwa wananchi wa Hanang' ,iyo azabu imetolewa na asili ya mlima baada ya wanadamu kushindwa kutimiziwa haja zaoKazi ipo... kwa hyo unaamini wale wazee wangefanya kitu... hii haina tofauti kusikia mganga analia katepeliwa... hao wazee km kwel walikuwa na nguvu ya kuzuia wangewanyoosha hao watu wa maliasili...ili kulinda kizazi chao, cos familia za mali asili hazijaumia kulikk hao wazee...
Kk land slide inatokea sanaaa.. tuwe tunachukua tahadhali sio kuanza kufikiria mazingaombwe kuokoa maisha yako..
Hao watu wa misitu wapo masaa 24 huko mlimani kusubiri kufukuza wazee wa kimila, acha fix mzee....
Volcanic eruption haiwezi zuiliwa na kitu dhaifu cha kijinga kama mvua. Ile lava ikitoka kwa mlipuko, moshi wake unatanda kuzidi usawa wa mawingu ya mvua. Lava inayeyusha mawe, inayeyusha nyumba ukirudi unakuta tope jekundu ije ishindwe na muunganiko wa manyunyu unaoitwa mvua?VOLCANIC ERUPTION.
BAHATI MVUA ILINYESHA LAVA ONHEKUWA YA MOTO WATU WANHEYEYUKA.
Hao maafisa wa misitu wamesalimika?Kilichotokea Hanang' mlima ulianza kuunguruma Toka mwez wa 9 na kutikisika kidogo,kama kawaida ya Mila na desturi lazima tambiko lifanyike
Wazee wakajipanga wakati wanaenda mlimani wakakutana na watu wa misitu(maliasili) wakafukuzwa milimani
Wazee waliapa kitachotokea mwaka huu lazima nchi itikisike ,baada ya siku 3 likatokea la kutokea watu zaidi ya 80 wamekufa
Hakuna Cha mudflow,land slide,debris flow ,ni kukaidi Mila na desturi za eneo husika zisifanyike ,
Kama walijua umuhimu wa hilo tambiko lao, walishindwa njia nyingine ya kufika huko mlimani au hao maafisa misitu walitanda mlima mzima na wakakaa masaa 24 kuzuia wazee wa kimila.......punguza fix.Shida nyinyi mkikaaga mitandaoni mnajikuta ujuaji mwingi,nimekwambia mtafte mtu wa Hanang' mndani akupe abc za mlima Hanang' ,sio Kila kitu ni kuleta ujuaji
Mkuu unasema hivyo wakati unatumia ubin wa babu yako hujistukii1. Mizimu ni uongo
2. Matambiko ni uongo.
3. Wanaofanya matambiko ni wazushi na waongo.
Mtu akishakufa hajiwezi yeye mwenyewe sembuse kusaidia waliohai?
Yaani kuna Watu ni wajinga wa kiwango cha juu kabisa.
Ni Watu ambao wapo karne hii kimakosa.
Unazungumzia Majini unaita mizimu
Mkuu unasema hivyo wakati unatumia ubin wa babu yako hujistukii
We ni boya kweli,ao maafisa misitu unawajua vizuri,taarifa za misituni za watu kuuwawa na hao jamaa unazijua vizuri,Kama walijua umuhimu wa hilo tambiko lao, walishindwa njia nyingine ya kufika huko mlimani au hao maafisa misitu walitanda mlima mzima na wakakaa masaa 24 kuzuia wazee wa kimila.......punguza fix.