Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Hawakutia laana, maana yao ni kuwa kwa kuwa wamezuiwa kuzuia janga acha litokee na tutajuta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wazee wa bongo bwana, yaani wanazinguliwa na maliasili, wanaipa laana hanang nzima, na vizazi vyao, mali zao. Watoto wadogo kwa wa mama, wamemezwa na tope. Nao wamefurahi au. This stry has something fishy.
Unaleta stry za landslide na mila hapa.
Landslides ni notorious can't be predicted my brother, njia pekee kufanya landslides isitokee ni gharama. It imposes alot of mechanisms bro. Usiwauzi wazee tuwaone vichaa.
Siku hizi mtu anaweza kuwa na shahada halafu kilaza.